Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Koh kohNinakuchanganya na nani?
Wacha bwana... hivi mo yupo?Pambana na hali yako dogo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Koh kohNinakuchanganya na nani?
Wacha bwana... hivi mo yupo?Pambana na hali yako dogo.
Ya kwel hayoWee watu tunakulana live we bakia hivyo hivyo ukadhania wanataniana wenzio tushahamia na kuishi pamoja ,so muwe makini
Hahahaha.....Dogo na Bonny ni silent killers. Wanazo kapo zao msururu.
Sitembei na guruneti wala makinikia. Hatari yangu iko wapi.Kazi hii ingekuwa binafssi, hakika nisingekuita. Yeye mwenyewe alishuhudia ya kwamba wewe u mtu hatari kwake anakuogopa[emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
Hata sijui kwakweli.Koh koh
Wacha bwana... hivi mo yupo?
Kwa hiyo nafasi zipo wazi nianze kukunadi?[emoji3][emoji3]Hata sijui kwakweli.
Hahhaaaa me thimoooo [emoji119] ..ila najua kaka angu Mshana jr hana hzo tabia ameokokaAlikuwa anapanda ungo wake kwenda kwa wanga wenzie waende kuwanga makaburini, bora hukumstua.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] we binadamu mkorofi ww[emoji126] [emoji126][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Unacheza na mwananyamala
Ww hee hee tena uckute mko
Hapo kwa hadja kopa
[Color= yellow]Triple A[/color]
Halafu ujue nawaona..Uminadi kwa nani na Kaizer yupo?
Nami nakusoma mume wangu.
Sawa mwanangu nilipata shaka maana hapa juzi nikaona tena Kaboo... anaitwa, naogopa wasije wakamalizana au wakakudhuru nikakosa mtoto.Baba hutakiwi kuuliza maswali. We subiri uletewe mkwe.
Asante jiraniCouple yako ipi mana unazo nyingi ata hueleweki
Nikajua utamalizia Daby... nimesubiri hadi Mb zinakaribia kukata
[emoji123][emoji123][emoji123]Asante jirani
Vale nani sijui huko.Hee sijui kasinde, husna, yule mwngne sijui nani
Hvi una mabwana wangapNami nakusoma mume wangu.