Vituko vya couple za JamiiForums

Vituko vya couple za JamiiForums

"Kama umejoin JF hivi karibuni zisikutishe hizi couple ni majigambo tu wewe yeyote ruka nae....!!
Hii sentensi imenichekesha kweli lol
 
sasa unamsema [HASHTAG]#melkiory[/HASHTAG] wangu jmn.

ha ha ha ha mkuu hujapata nini? haya maisha ya mtandaoni na wew unayatiliaga siriaz kweliiii???.

kikubwa fata ulichoijia ondoka na ulichokipata haya mengine yatakuongezea mvi tu..
Mhhhhhhhh,,,,,,,,,!!!!????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom