Kenya huwa inajiona ni sawa na ulaya na amerika na hata uarabuni kwa sehemu za pwani, wanakopi na kupesti imani toka sehemu hizo. Kama amerika kuna waabudu shetani waziwazi bila kubughudhiwa na wao wanaanzisha imani hiyo. Haya sasa kuna wasioamini mungu kabisa nao wamejaa tele. Hawa waabudu shetani na adhiest ndio wanaosababisha majanga ya asili yatokee na kuangamiza watu. Mara moto, mara kimbunga, milipuko ya magonjwa, ukame na mafuriko huku shetani wao hawasaidii kuzima moto ni taabu tupu na ni chukizo