Vituko vya house girl

Vituko vya house girl

Dena Amsi

R I P
Joined
Aug 17, 2010
Posts
13,080
Reaction score
4,273
Jamani hii imenichekesha sana jana wakati nimerudi home toka kazini house girl wangu akaniambia eti kuna kijana wa nyumba ile ya jirani kanambia you are very handsome!!!!

Nikamuuliza unaelewa maana yake akaniambia alivyoniambia hivyo mie nikakimbia nikarudi ndani.
 
Jamani mpeleke shule,hiki siyo kichekesho.
 
Kama wewe ndio baba wa nyumba hiyo nina wasiwasi "unachakachua" - iweje mtoto huyu akwambie wewe?
 
Inaonekana jinsi gani unavyo penda kupiga story na house girl wako basi anza kumfundisha kidogo kidogo.
 
Huyo wala sio house girl. Na wala hayo siyo mambo ya kuzungumza baba na msichana wa kazi kama hamna mahusiano yoyote.
 
mimi navipenda vi hausi geli kwani havibanii pia vinajua mambo kama kamoja kapo hapa jirani yaani asikwambie mtu kanawazidi wanawake wakubwa mambo kwa mbaali sana
 
Shaka hakuna tena report hiyo alipewa akiwa anachakachua nae kwenye chumba cha uwani!!
 
Nyie watu wachokozi mie nakaa kimya no comment.....Yaani nichakachue housegirl aaahhh mmnidhalilisha aisee. Sijawahi
 
Nyie watu wachokozi mie nakaa kimya no comment.....Yaani nichakachue housegirl aaahhh mmnidhalilisha aisee. Sijawahi


Kwa nini usichakachue housegirl?Kwani hana kifanyio,mbona unawadhalilisha mabinti wadogo na watamu namna hii?
Na kama kweli unavyosema hujawahi siku ukiwahi hutakaa uache na utakuwa kila siku unawavizia njia za kwenda madukani na sokoni.
 
Nyie watu wachokozi mie nakaa kimya no comment.....Yaani nichakachue housegirl aaahhh mmnidhalilisha aisee. Sijawahi

kwa hili umejishtaki mwenyewe, hakuna atakayekuelewa humu ndani
 
Paka Mweusi,


Watamu kwako si kwa wote kama umezoea kuwafataki watoto wa watu tutakushitaki muone kwanza hata haya huna
 
Asilimia 74.29 ya ma beki tatu wanatoka singapoo
 
Jamani hii imenichekesha sana jana wakati nimerudi home toka kazini house girl wangu akaniambia eti kuna kijana wa nyumba ile ya jirani kanambia you are very handsome!!!! Nikamuuliza unaelewa maana yake akaniambia alivyoniambia hivyo mie nikakimbia nikarudi ndani.

Una lako jambo, ntakuripoti tamwa muda si mrefu iwapo hautaacha hicho unachokusudia kukifanya
 
Back
Top Bottom