Vituko vya January

Vituko vya January

DongoJeusi

Member
Joined
Aug 1, 2018
Posts
80
Reaction score
80
Vituko vya january ila si makambako

Hiki ni kipindi ambacho ongezeko la watu wanaongea peke yao huku mjini huongezeka kwa kiasi kikubwa.



Wale wadada wa nyumbani ni kipindi chao kuacha kazi majumbani hii ni kutokana na malimbikizi kibao ya mishahara yao


Embu jaribu kuongezea na zako hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom