Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Kama unaweza kupata gazeti la tarehe 9/11/09 la mwananchi kuna makala yake amehojiwa na mwaandishi ameelezea vituko vyake vyote! hivyo hapo ulivyosema ni kweli na sio stori....hiyo ishu ya kudaka mpira na kuuficha ilisababisha akapwewa kadi ya njano kwani refa alijua ni goli!!Nilipokuwa mdogo nilikuwa nikisikia visa na vituko mbalimbali vya golikipa maarufu wa yanga na taifa stars Juma Pondamali.
Nasikia amewahi kuudaka mpira na kuuficha watu wakabaki wanashindwa kuelewa ni goli limeingia au la...
Pia nimeshawahi kusikia amewahi kuudaka mpira kisha akamrushia kwa makusudi adui, adui alipopiga akadaka kisha akamrushia tena...
Je hivi visa ni vya kweli, au ndio yalikuwa magirini ya kitoto?
Kama ni kweli naomba nijulishwe pia nipewe habari zake zaidi kwani amekuwa ni kivutio kikubwa sana kwani alikuwa na kipaji cha hali ya juu sana.
Pondambali hakuwa baunsa bali alikuwa gangwe.
Ninawasiwasi wewe unaweza kuwa babu,maana hili neno la gangwe walitumia babu zetu!!Pondambali hakuwa baunsa bali alikuwa gangwe.
mchajikobe kwa ku assume wewe!Ninawasiwasi wewe unaweza kuwa babu,maana hili neno la gangwe walitumia babu zetu!!
mavazi ya magolikipa kwa wakati ule yaliruhusu kuuficha mpira kirahisi
Hopefully amenisamehe kwa kumquote vibaya.Hujamtendea haki FirstLady1, kiustaarabu muombe msamaha
Mpira wa kuchezea soka, si hiyo salama unayoifikiria wewe !!
lugha tu ndugu,mi nimekulia s'wanga watu hawa tuliwaita baunsa wakati wetu....nawe wamwita gangwe....
Sie wakati ule magangwe tiliwaita watu ambao leo hii unaweza kuwaita wasela....