VITUKO VYA Juma Pondamali

VITUKO VYA Juma Pondamali

Pondambali hakuwa baunsa bali alikuwa gangwe.

Yawezekana, ila mimi nafahamu alikuwa mtaalamu wa Kareti na goli alilofungwa alifungwa na Juma Mgunda, sasa Minziro si alikuwa anajifanyaga Yanga kama ya Babake ndo akawa ananungunika tu akashindwa kumchimba mkwara kama alivyokuwa anawafanyia wachezaji wengine
 
Ndo maana Pondamali alibatizwa jina la Mensah, golikipa wa zamani aliyekuwa nyota Afrika
 
Ndo maana Pondamali alibatizwa jina la Mensah, golikipa wa zamani aliyekuwa nyota Afrika

Aliwabatukia waliotaka kumpa jina hilo,na hakutaka kabisa kupandia jina la mtu mwingine.Ndiyo maana hadi leo ni Juma Pondamali,menash haikukaa naye sana!
 
Pondamali hakuwa baunsa wala gangwe alikuwa mtoto wa mjini tu alikuwa amejifunza karate enzi zile kung fu ndiyo utemi wake ulitokana na hiyo
 
aliyemrushia mpira akshindwa kufunga ni Adam Sabu alitaka kurusha ngumi akachemsha
 
hilo jina la Mensah alipewa akifanannishwa na kipa wa zamani wa Ghana (Robert Mensah)

hiyo mechi ya Pan na Majimaji zile fujo za pondamali na Peter Tino zilisababisha yule refa (Manyama) kukatika kidogo ulimi

nakumbka ilikuwa ni mechi kati ya Yanga na Afican Sports, pondamali alidaka mpira akamrushia strika wa Sports (Victor Nkanwa), lakini bila kutarajia Nkanwa akashindwa cha kufanya, na mara ya pili tena pondamali alirudia hicho kitendo na Nkanwa akawa makini baada ya Kuupiga kwa papara aliutuliza na kumchambua pondamali, sasa wakina Minziro na jeuri yao yote na machungu yao yote walishindwa kabisa kumgusa huyo jamaa

kwa wasiofahamu huyo jamaa ni BLACK BELT YA KARATE, alikuwa sana pale maeneo ya Zanaki enzi hizo, za kina Sensei Henry, Sempai Magoma na kina Mawala (Mzee wa Judo)
 
Namkumbuka Juma Pondamali enzi za Pan Africa FC,sijui siku hizi yuko wapi.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kuna kipindi walikuwa na ligi kupitia EATV Sports ya Patrick Nyembera enzi zile dhidi ya kocha wa Serengeti boys sijui...
Daah nilikuwa nacheka sana.
 
Kumbe ndiye anawafundisha akina Yondan, Bossou nk kucheza raffu za kijinga uwanjan. Hakuna ubishi kwamba wachezaj wa Yanga wanacheza rafu sana sana hivyo wanatumia akili kidogo na nguvu nyingi.
 
Nakumbua mechi moja walicheza.na.African sport lilipingwa shoot na victor mkanwa akalidaka victor akaonyesha ishara ya.kusikitika kudakwa shoot lake basi akaamua kumrishia apige tena.victor hakufanya makosa akitia wavuni kusawazisha baada.ya mechi ilibidi ffu wamsindikize huku.akizomewa.la.kufurahisha alikuwa.akigeuka kuwatizama waliokuwa wakimzomea na kuwailiza mnasemaje walikuwa wakificha uso na wengine kukimbia
 
Back
Top Bottom