StaffordKibona
JF-Expert Member
- Apr 21, 2008
- 669
- 60
Hata mimi nilitumia neno gangwe mwaka 1978/79
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
..Unatumbukizwa kwenye jezi/fulana lake mgongoni walioko nyuma ya goli ndio pekee wanaweza kuona!!!hivi mpira ni mkubwa kiasi gani usionekane? aliuficha wapi??
Pondambali hakuwa baunsa bali alikuwa gangwe.
Ndo maana Pondamali alibatizwa jina la Mensah, golikipa wa zamani aliyekuwa nyota Afrika
aliyemrushia mpira akshindwa kufunga ni Adam Sabu alitaka kurusha ngumi akachemsha
Ni kocha wa makipa Yanga,,,,wa kimataifaNamkumbuka Juma Pondamali enzi za Pan Africa FC,sijui siku hizi yuko wapi.
Scorpion wa enzi hizo?Pondamali hakuwa baunsa wala gangwe alikuwa mtoto wa mjini tu alikuwa amejifunza karate enzi zile kung fu ndiyo utemi wake ulitokana na hiyo
inawezekana ulikuwa ni mdogo kama kitenesihee niulize kama mwenzangu hapo juu mpira gani unafichwa hauonekani ?