FBS90
Member
- Jan 27, 2019
- 18
- 16
Wanajamvi habarini...
Kuna mwaka fulan yalinikuta sitosahau!!!
Ilikuwa jioni nitoka kijiji jirani kwa mshikaji wangu.
Wakati narudi home mida ya jioni kigizagiza ndo kinaanza, kwa mbali nikaona dem yu pekeake. Nikakaza pedo nimfikie, kweli nikamfikia. Nikazuga kumpita kidogo afu nikamwambia twende nikubebe.
Hakugoma akanikimbilia mpaka nilipokuwa.
Aiseee..!! Nilichokutana nacho nilivumilia kwa kuyataka mwenyewe.
Kumbe alikuwa mganga kienyeji.
Alikuwa kavaa matunguli ya kila aina.
Wakati nafikiria nifanyaje akaa tayari kwa safari, nikasikia sauti tu....... Twende!!!
Kumwambia ashuke nikashindwa , kwanza naanzaje wakati mi mwenyewe nimekaribisha lift??!
Nikakanyaga pedo. Safari..
Wakati tupo njiani nikamwona binadam wa kawaida tukapiga stories za hapa na pale.
Baadae nikakumbuka lengo la kumpa lift.
Nikaomba gem kwa ujasiri wa Hali juu. Likatiki
Nikapewa masharti.
√ Mpaka awepo pacha wake yaani kurwa wakati wa mgegedo, mhh!!?. Kumbe ni kibuyu kinachomwakilisha kurwa halisi.
√ Nimfwate kwenye kilinge chake cha uganga aombe mizimu yake ikikubali nambanjua.
Nikasema sawa. Mpaka leo sijamtafta.
Jaman aliyewahi kukutana vitimbi ktkt mapenzi au kutongoza tupeane uzoefu.
NAWASILISHA