B'REAL
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 4,443
- 3,002
Habari za mdau, wadau wa jukwaa pendwaa, dah!
Leo nimeona tupeane vistori vya vituko na matukio ya ghetoni miaka kama kumi ilio pita nilikua Niko chuo falni Uganda bana,
Sasa tukawa tunakaa mageto nje ya hostel,basi bana tukaa tunakutana gheto flani kwa mshikaji wetu rasterman,mtanzania pale tuna kula gambee na kushi Sanaa. Hili gheto lilikua na princepial za kimanii sana lazimaa donation Ila Kama huna utakula tu.