Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Hahahaha hii kaliiiHahaaa. Kuna ile mtu anapeta mchele kibarazani kila siku kumbe anao huo huo robo sijui nusu na kila akiingia ndani anasonga ugali. Lol
Mmh rafiki na wewe mambo ya uswahilini unayajua kumbe?Hahaaa. Kuna ile mtu anapeta mchele kibarazani kila siku kumbe anao huo huo robo sijui nusu na kila akiingia ndani anasonga ugali. Lol
Hahahaa. Uswahilini kuache aiseee.Hahahaha hii kaliii
HahahaMwanamke was kiswahili akitaka kumwambia mwanaume ni handsome utaskia tu
"Kwendraaa we huwezi kukosa girlfriend"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaahhh..Mwanamke was kiswahili akitaka kumwambia mwanaume ni handsome utaskia tu
"Kwendraaa we huwezi kukosa girlfriend"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaaahh na kuna wale wanaokaanga vitunguu swaumu ili mjue wanapika pilauHahaaa. Kuna ile mtu anapeta mchele kibarazani kila siku kumbe anao huo huo robo sijui nusu na kila akiingia ndani anasonga ugali. Lol
hahahaMwanamke was kiswahili akitaka kumwambia mwanaume ni handsome utaskia tu
"Kwendraaa we huwezi kukosa girlfriend"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaa. Nayajua sana aisee sababu ndiko nilikokulia miaka hiyo. Teh.Mmh rafiki na wewe mambo ya uswahilini unayajua kumbe?
Kwahiyo umepeta sana mchele wa maonyesho eh au majirani ndio walikua na hizo tabia? [emoji2] [emoji2]Hahahaa. Nayajua sana aisee sababu ndiko nilikokulia miaka hiyo. Teh.
Hahaaa. Kuna ile mtu anapeta mchele kibarazani kila siku kumbe anao huo huo robo sijui nusu na kila akiingia ndani anasonga ugali. Lol
Ha ha ha !!! Hatarii.Hahahaha hii kaliii