Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Vikishaungua na kutoa harufu kwa majirani basi jiko linazimwa na kama nichai anakunywa au kama hamna cha kuliwa basi anapiga desh. Teh.Hahaaahh na kuna wale wanaokaanga vitunguu swaumu ili mjue wanapika pilau
Na mwisho wa siku maisha yanasonga.Ila sijajuaga nini inasababisha aisee.