Temanyika wa Nyika
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 201
- 309
Weweeee ni kweli Hajar,nimeiona miaka ya nyuma jamaa alikuwa hajaoa alikuwa anafanya kama Chambo Kwa wadada,siku moja mama mwenye nyumba akampanga BINTI yake ajitose kwa jamaa akampikie ili waanzishe urafiki ili wawe wanapata mchele angalau,BINTI akakubali kujitosa,kupiga hodi akaingia kimoja kamkuta jamaa na jiko LA mchina anasonga ugali,hapo sasa fikiria kilichoendelea kwa uswahiliniHahaaa. Kuna ile mtu anapeta mchele kibarazani kila siku kumbe anao huo huo robo sijui nusu na kila akiingia ndani anasonga ugali. Lol