Vituko vya maisha ya uswahilini

Vituko vya maisha ya uswahilini

Hahaaa. Kuna ile mtu anapeta mchele kibarazani kila siku kumbe anao huo huo robo sijui nusu na kila akiingia ndani anasonga ugali. Lol
Weweeee ni kweli Hajar,nimeiona miaka ya nyuma jamaa alikuwa hajaoa alikuwa anafanya kama Chambo Kwa wadada,siku moja mama mwenye nyumba akampanga BINTI yake ajitose kwa jamaa akampikie ili waanzishe urafiki ili wawe wanapata mchele angalau,BINTI akakubali kujitosa,kupiga hodi akaingia kimoja kamkuta jamaa na jiko LA mchina anasonga ugali,hapo sasa fikiria kilichoendelea kwa uswahilini
 
Hahahaaa. Yaani miaka ya nyuma uswahilini kulikuwa na mambo sana aiseee.

Na ilikuwa hakuna ile kujishtukia ujue.
 
Hahahaaa. Yaani miaka ya nyuma uswahilini kulikuwa na mambo sana aiseee.

Na ilikuwa hakuna ile kujishtukia ujue.
Ingekuwa sio kuwa na familia ningependa kweli kwenda kuishi huko nipange kachumba kangu nifaidi vituko vya kila siku .Yaani kila siku utacheka kuongeza umri Wa kuishi
 
Uswahilini raha..ukinenepa tu kidogo katumbo kakaja mbele..utasikia "ana mimba yule na ile itakua ya leo ya kesho..mwili tu ule unamstiri"mweh uswahilini bana
 
Yani..na wanajiweza atii..sasa tumbo lipungue utasikia"ametoa mimba mtoto mbaya yule" kama walisaidia kushika miguu wakati napigwa jerk..uswahili shida sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Uswazi kwa kukaa barazani na kuanza kumuangalia mtu na kumsema vibaya kama wao ndio
Wanaoumba
 
Back
Top Bottom