Vituko vya maisha ya uswahilini

Kuna Ndoa nyingine uswahilini utakuta ni mwaka wa kumi huu Mke haijui sura ya mumewe Mchana inafananaje,
Jamaa anatoka alfajiri saa 11 anamwacha wife kalala anarudi usiku saa 6 kila siku.

Haya maisha yafike mahali yatuonee huruma jamani[emoji3]
Hahaa haaa sure
 
uswahili Mwanamke anatembea peku peku mpaka mtaa wa 6 huko"..... kwa mizinga sasa ..Teja Ananafuu
 
Tena huku ana Khanga ya kifua hapo. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
hivyo hivyo madame kuna visa sana".... watu wamepinda Mnoo mshipa wa haya umekatika " waweza kumkuta mama mtu mzima ana Mtusi mwanae wakumzaa tusi la nguoni" tena la kiungo chake mwenyewe
 
hivyo hivyo madame kuna visa sana".... watu wamepinda Mnoo mshipa wa haya umekatika " waweza kumkuta mama mtu mzima ana Mtusi mwanae wakumzaa tusi la nguoni" tena la kiungo chake mwenyewe
Aiseee. Tena umeandika ukweli ujue. Au waeza kuta anamwita "Mbwa" sasa unajiuliza huyo mbwa kazaliwa na nani? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Uswahilini noma aiseee.
 
Hahaaa ....daaahh hizo sehemu ulizoishi sasa ndio baba lao".... kuna uswahili mnooo
 
Aiseee. Tena umeandika ukweli ujue. Au waeza kuta anamwita "Mbwa" sasa unajiuliza huyo mbwa kazaliwa na nani? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Uswahilini noma aiseee.
hahaa mtoto akimaliza darasa la saba", Anaambiwa kuanzia leo chai utapata bure ila vitafunwa ujitegemee"... umeshakuwa mkubwa wewe
 
hahaa bila shaka alitangazwa mpaka kwa kuku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…