Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahahaaa. Ni kweli ujue Kaka. ππHaaah! Haaah! Haaah! Haaah! Huna adabu wewe dada!
Mwendo wa kurushana roho tu. πππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa. Ni kweli ujue Kaka. ππHaaah! Haaah! Haaah! Haaah! Huna adabu wewe dada!
Basi tu nilihama Uswahilini.... napamiss sana!Na kweli usemalo. Japokuwa kuna wachache wapo kama sie tuliokulia uswahilini tu.
Hahaa haaa sureKuna Ndoa nyingine uswahilini utakuta ni mwaka wa kumi huu Mke haijui sura ya mumewe Mchana inafananaje,
Jamaa anatoka alfajiri saa 11 anamwacha wife kalala anarudi usiku saa 6 kila siku.
Haya maisha yafike mahali yatuonee huruma jamani[emoji3]
Ndio uwage unaenda hata kusalimia majirani. πππBasi tu nilihama Uswahilini.... napamiss sana!
Uswahilini burudaniHahahaaa. Ni kweli ujue Kaka. ππ
Mwendo wa kurushana roho tu. πππ
Tena huku ana Khanga ya kifua hapo. ππππuswahili Mwanamke anatembea peku peku mpaka mtaa wa 6 huko"..... kwa mizinga sasa ..Teja Ananafuu
hahaaa condoms nini ''??Mambo ya uswahilini kuvunja nazi njia panda,
Kufua kondomu ulizotumia na kuanika kwenye kamba uani!
Huwa naenda best!Ndio uwage unaenda hata kusalimia majirani. πππ
hivyo hivyo madame kuna visa sana".... watu wamepinda Mnoo mshipa wa haya umekatika " waweza kumkuta mama mtu mzima ana Mtusi mwanae wakumzaa tusi la nguoni" tena la kiungo chake mwenyeweTena huku ana Khanga ya kifua hapo. ππππ
Acha tu Kaka.Uswahilini burudani
Hahahaaa. Hapo sawa.Huwa naenda best!
Ngoja nikubali tu Hajar maana hakuna namna ntafanyaje sasaπππHahahaaa. Nilishakaa Uswahilini Sesten.
Aiseee. Tena umeandika ukweli ujue. Au waeza kuta anamwita "Mbwa" sasa unajiuliza huyo mbwa kazaliwa na nani? ππππhivyo hivyo madame kuna visa sana".... watu wamepinda Mnoo mshipa wa haya umekatika " waweza kumkuta mama mtu mzima ana Mtusi mwanae wakumzaa tusi la nguoni" tena la kiungo chake mwenyewe
Hahaaa ....daaahh hizo sehemu ulizoishi sasa ndio baba lao".... kuna uswahili mnoooUswahilini ukifua jinsi kali hupaswi kuondoka hakikisha unakuwepo hapo mpaka itakapokauka,pia choo hutumika kama bafu na mlango ni kpande cha gunia au kanga/kitenge kilichoisha
Ukija na mgeni ukimkuta mama mwenye nyumba lazma akuulize "huyo ndyo mchumba wako? na yule mwingine yuko yapi uliyekuja nae siku ile?" Just imagine unaulizwa swali hilo na mchuchu a.k.a your new side chick yupo hapo hapo
Kwa kifupi,uswahilini huwa hakuna ustaarabu (nimeishi Maeneo ya Mburahti kwa Ma Doto, na Manzese kuko hovyo sana)
Hahahaaa.
hahaa mtoto akimaliza darasa la saba", Anaambiwa kuanzia leo chai utapata bure ila vitafunwa ujitegemee"... umeshakuwa mkubwa weweAiseee. Tena umeandika ukweli ujue. Au waeza kuta anamwita "Mbwa" sasa unajiuliza huyo mbwa kazaliwa na nani? ππππ
Uswahilini noma aiseee.
hahaa bila shaka alitangazwa mpaka kwa kukuWeweeee ni kweli Hajar,nimeiona miaka ya nyuma jamaa alikuwa hajaoa alikuwa anafanya kama Chambo Kwa wadada,siku moja mama mwenye nyumba akampanga BINTI yake ajitose kwa jamaa akampikie ili waanzishe urafiki ili wawe wanapata mchele angalau,BINTI akakubali kujitosa,kupiga hodi akaingia kimoja kamkuta jamaa na jiko LA mchina anasonga ugali,hapo sasa fikiria kilichoendelea kwa uswahilini
usinikumbushe mbali bwege wewe"".... Niliwahi kumvua chupi manzi nikakuta kaweka kipande cha godoro" mwingine kaweka leso"..... uswahilini daahh kuna vituko sanaUswahili hakuna nepi wala pedi kuna malizia.........
Hii ya kufua kondomu kiboko!Mambo ya uswahilini kuvunja nazi njia panda,
Kufua kondomu ulizotumia na kuanika kwenye kamba uani!