Vituko vya makanisa ya Dar. Jionee mwenyewe

MUTUYAMUNGU

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
1,825
Reaction score
4,374
IMG_20211107_073055_811.JPG
 
Hebu watu wa Dar mtuambie huyo baba yenu halisi anaitwa nani na kanisa lake lipo wapi.

Kwa ninavyojua mimi BABA HALISI ni MUNGU BABA MUUMBAJI WA DUNIA NA VYOTE VILIVYOMO.

Wengine tukijiita baba halisi tutakuwa tunakufuru.
 
Hivi kwanini dini ya ukriso inachezewa Sana ? Lakini cha kusikitisha hao waumini wa kikiristo wanamuamini kila mchungaji anaejitikeza,wanajifanya wanapesa nyingi za kuwapa wachungaji ili wawe matajiri.Mchungaji anaweza leta papai akasema kaliombea na likagombaniwa kwa gaharama yoyote kisa mchungaji kaliombea.Wachungaji wanawaona wakristo kama vile hawana akili.
 
Huyo kanisa lake lipo tegeta masaiti na wiki iliyopita ilikuwa ni zamu ya bodaboda kwa ajili ya kufuta ajali sijajua kama ilifanikiwa au laa na anapopita na msafara wake huyo mr anakuwa na magari 3 ya kifahari vx v8 ikiwa moja wapo na anatembea na king'ola hasimamishwi na yeyote yule barabarani na waumini wake ndio wale wanaovaa nguo nyeupe mwanzo walikuwa pale mbezi makonde ila sasa wamegawanyika ndio wengine wapo tegeta ila ninachompenda anawafundisha waumini wake mbinu za kusaka pesa ktk nyanja mbalimbali
 
Nimekupata hawa ndio zaman walikuwa wanaitwa SILOAM kwa nabii Eliya.
 
Mwalimu Musa Mwacha wa Ngome ya Yesu kule Kimara yeye mahubiri yake yote ni Vita dhidi ya wachawi wa kufikirika,kuuza maji,mafuta, udongo na chumvi bila kusahau kadi za michango kila siku
Dah
 
Hivi kwanini dini ya ukriso inachezewa Sana ? Lakini cha kusikitisha hao waumini wa kikiristo wanamuamini kila mchungaji anaejitikeza,wanajifanya wanapesa nyingi za kuwapa wachungaji ili wawe matajiri.Mchungaji anaweza leta papai akasema kaliombea na likagombaniwa kwa gaharama yoyote kisa mchungaji kaliombea.Wachungaji wanawaona wakristo kama vile hawana akili.
Cha ajabu ni kwamba kwa mwamposa waislam wamejaa kibao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kuliko hata wakristu
 
Sasa kama ukiwapata wapumbavu na wajinga wanaoweza kukuweka MJINI unaanzaje kwenda kijijini kulima? [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Me hao manabii fake hata siwalaum ila hao wanaopeleka pesa zao ndio nawahurumia
 
Back
Top Bottom