Vituko vya makanisa ya Dar. Jionee mwenyewe

Vituko vya makanisa ya Dar. Jionee mwenyewe

Hivi kwanini dini ya ukriso inachezewa Sana ? Lakini cha kusikitisha hao waumini wa kikiristo wanamuamini kila mchungaji anaejitikeza,wanajifanya wanapesa nyingi za kuwapa wachungaji ili wawe matajiri.Mchungaji anaweza leta papai akasema kaliombea na likagombaniwa kwa gaharama yoyote kisa mchungaji kaliombea.Wachungaji wanawaona wakristo kama vile hawana akili.
[emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956]
 
Cha ajabu ni kwamba kwa mwamposa waislam wamejaa kibao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kuliko hata wakristu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nchi ngumu sana hii
 
Siloam wapuuzi sana wana mahubiri ya kijinga sana tangu siku hiyo sikuenda tena kanisani kwao
Ha ha ha walisema usiseme nabii wetu Eliya kafa, huyu kapumzika tu mungu huwa hafi. Wanakufuru mbaya sana kumfananisha nabii wao na Mungu
 
Na kuna watakaolizwa
Wale jamaa sijui ile confidence huwa wanaitoa wapi kutapeli watoto wa wenzao mchana kweupe.

Sasa hivi hata Watumishi wa Mungu wa kweli hawaaminiki, watu wanajua ni wale wale walioniuzia maji ya upako laki mbili.
 
Huyo kanisa lake lipo tegeta masaiti na wiki iliyopita ilikuwa ni zamu ya bodaboda kwa ajili ya kufuta ajali sijajua kama ilifanikiwa au laa na anapopita na msafara wake huyo mr anakuwa na magari 3 ya kifahari vx v8 ikiwa moja wapo na anatembea na king'ola hasimamishwi na yeyote yule barabarani na waumini wake ndio wale wanaovaa nguo nyeupe mwanzo walikuwa pale mbezi makonde ila sasa wamegawanyika ndio wengine wapo tegeta ila ninachompenda anawafundisha waumini wake mbinu za kusaka pesa ktk nyanja mbalimbali
Nakumbuka baada ya kufa kwa Elia...kanisa lake lilipata mgawanyiko...kuna aliyetaka kumuachia kanisa halafu familia ikakataa...naomba nijulishe jina lake lililopo nida huyu na yule aliyebaki pale Makonde
 
Da umenikumbusha jana nimepanda coaster kwenda ,karakoo Kapanda mama ...mmoja ndio agent wa mchungaji anajiita ,Mtabiri nyuki ...anadai wanasabuni ukiogea hizo madeni yote kwisha ,nyumba ya kupanga ww ndio utakuwa na sauti kuliko baba mwenye nyumba anaalika watu waende kuombewa
 
Da umenikumbusha jana nimepanda coaster kwenda ,karakoo Kapanda mama ...mmoja ndio agent wa mchungaji anajiita ,Mtabiri nyuki ...anadai wanasabuni ukiogea hizo madeni yote kwisha ,nyumba ya kupanga ww ndio utakuwa na sauti kuliko baba mwenye nyumba anaalika watu waende kuombewa
Huyo ni zaidi ya mganga wa kienyeji
 
Back
Top Bottom