Mamelodi sundowns ni timu yenye CV ya ajabu sana.
Imewai kutwaa kombe la africa mara moja mwaka 2016.
Na hiyo mara moja walitwaa kwa vituko vingi sana. Vinachekesha. Baada ya kushindwa uwanjani waliamua Mpira uchezwe na wanasheria wa mamelodi mahakamani
Mwaka huo 2016 mamelodi alishiriki mashindano yote makubwa ya africa. Yaani caf champions league na caf confederations cup maarufu kama shirikisho.
Cha kushangaza alitolewa kwenye mashindano yote mawili.
As vita alimtoa mamelodi kwenye champions league msimu wa mwaka 2016
Medeama ya ghana ikamtoa mamelodi kwenye kombe la shirikisho msimu wa mwaka 2016
Mamelodi akaenda mahakamani akafosi arudishwe mashindanoni. Kesi ikatolewa hukumu haraka haraka akarudishwa kwenye mashindano aliyoyachagua yeye. Maana champions league na shirikisho kote alikuwa ameshatolewa
Maana yote mawili alikuwa ametolewa.
Africa ina maajabu mengi
mwaka huu 2024 kwenye mechi na yanga kama Ingekuwa jana mamelodi ndio amekataliwa goli yeye. Na ametolewa Angeenda mahakamani fasta fasta na kesi ingesikilizwa fasta fasta baada ya hapo mamelodi angerudishwa mashindanoni nusu fainali.
KWA UFUPI MAMELODI NI TIMU JANJA JANJA SANA
Imagine team kwa mfano manchester united icheze uefa champions league halafu itolewe, kisha ipelekwe europa league na huko napo ikashindwa ikatolewa
halafu tena man utd baada ya kutolewa europa league arudishwe tena uefa champions league msimu huo huo kwa mara ya pili acheze tena bila qualification mpya halafu akabebe ubingwa in a same year
HII ULISIKIA WAPI ? ONLY MAMELODI SUNDOWNS