- Thread starter
- #21
Story za Abunuwasi, Idrissa Traore wa AS Vita ambaye alilamikiwa alicheza katika mechi ambayo Mamelodi walitolewa.
Alicheza mechi na mamelodi akiwa eligible player. Traore alifungiwa mechi 4 na hizo mechi alifungiwa toka msimu uliopita akiwa na club ya Mali.
Mechi na mamelodi aliicheza akiwa ameshamaliza adhabu ya mechi zake zote.
Mechi yake na mafunzo ya zanzibar ilivyogundulika alicheza ndio sababu kuu ya As vita kutolewa mashindanoni