Mamelodi baada ya kutolewa kwenye shirikisho na Medeama aligundua fursa kwa ujanja ujanja
Mamelodi walienda mahakamani kulalamika kwamba Kwenye mechi ya hatua ya kwanza kati ya As Vita vs Mafunzo ya zanzibar. As vita ilimchezesha mchezaji akiwa hajamaliza adhabu yake ya kufungiwa mechi 4.
Cha kushangaza badala ya mafunzo ya zanzibar kurudishwa mashindanoni. Maana ndiyo iliyoumizwa na huyo mchezaji kucheza.
Nafasi yake ya mafunzo kurudishwa akapewa Mamelodi maana ndie alieenda mahakamani