Vituko vya marehemu

Vituko vya marehemu

ndio maana ake hataki kunyegezwa,huyo ata maiti wa kike!kongosho,king'ast,lara1,madame sombody?mpooo!
 
hahahahahaha, kweli kuna watu hamnazo.... Dah!
 
GADO inaelekea unamuogopa sana Isiraeli e? Huna mbio wewe. Mi simuogopi akija nakimbiiaa.!
 
Hiyo ni sawa na MAITI iliyomwambia muoshaji :"Aloo taratibu bro huko nyayoni nilikuwa na kidonda usidhani siumii." alafu akafa tena.
 
Back
Top Bottom