Saidmwinyisaid
Member
- Jul 1, 2016
- 81
- 31
Dah uyu jamaa ni bondia namba moja maisha yangu yote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mawazo yangu yote nilikuwa najua Tyson ni mtanzania. Yaani nimekuja kujua wakati wa balehe 2012 kuwa jamaa siyo mtanzania.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Bora yangu, wewe ndiye umemaliza.Mimi ule mpambano wa tyson na evanda sikuhiyo nilijua ngumi zinapigiwa nyamanoro-Mwanza,maana vijana wote wa mtaani kwetu waliendakuangalia ngumi hizo ukumbi wa up to date ( banda umiza )
Au ndo tuseme ana 'nyota'? Maana hata wababe wake kina Lewis hawaheshimiki kivile kama huyuAlivyofilisika kuna jamaa alijitokeza kumsaidia ku recover
Ndie alikuwa behind hadi kipindi kile anatokea kwa Oprah na Holifield
na akawa na tv program Fox TV i guess kinaitwa 'being Mike Tyson'
aka recover hadi net worth ikawa inasoma 5 to 10 millions..
sijajua what happened lakini naona so far anaendelea vizuri...ni kweli Tyson
ana kitu fulani hivi special ambacho kinafanya awe na mvuto tofauti sana..
naona hiyo kuwa real na genuine.na life yake ndo siri pengine
And the 'Real Deal' whooped twice with Lennox LewisDecent boxer, not a great one.
Real Deal Holyfield put a whupin on him from pillar to post.
In the rematch the outcome was going to be the same, if not worse.
Tyson didn’t want that smoke.
He bit his way out of the fight.
Respect to Evander “The Real Deal” Holyfield. One of the all time greats.
And the 'Real Deal' whooped twice with Lennox Lewis
Haha, angalia vizuri hayo mapambano ukiweka kando ushabiki utagundua Lewis kashinda yote mawili, sema wamarekani walimfanyia figisu pambano la kwanza. Kuhusu Rahman no doubt alishinda pambano la kwanza, lakini nnachomkubali huyu mwamba Lewis alipigwa mapambano mawili lakini yote alifanya revenge 'ya uhakika' kwenye rematch [emoji38][emoji38][emoji38]Nah.
Well, maybe Lewis won the first fight. But they called it a draw.
But in the rematch, Holyfield won. Because there was such controversy and outcry about Lewis getting robbed in the first fight, they gave him the win.
Couple years later, Lewis was flat-lined by Hasim Rahman in Johannesburg, SA.
Haha, angalia vizuri hayo mapambano ukiweka kando ushabiki utagundua Lewis kashinda yote mawili, sema wamarekani walimfanyia figisu pambano la kwanza. Kuhusu Rahman no doubt alishinda pambano la kwanza, lakini nnachomkubali huyu mwamba Lewis alipigwa mapambano mawili lakini yote alifanya revenge 'ya uhakika' kwenye rematch [emoji38][emoji38][emoji38]
All in all jamaa alikuwa mzima sema hakuwa hyped kivile, aliwapiga wakali wengi sana walioshindikana kipindi hicho, Evander naye alikuwa hatari ukizingatia mwanzo alikuwa akipigana kwenye uzito wa cruiserweight. Tyson alikuwa overrated!Niliyaangalia yote mubashara kwenye PPV.
La kwanza nakubali Lewis walimfanyia figisu.
La pili sikubali. Holyfield alishinda kabisa, although on points.
Kuhusu defeats 2 za Lennox, zote alikuwa knocked out.
Rematches dhidi ya Oliver McCall hakushinda kwa uhakika.
Mpambano ulisimamishwa kwa sababu McCall aliacha kupigana na kuanza kulia.
Wanasema alipatwa na mental breakdown. Alikuwaga anasumbuliwa na matatizo ya akili.
Lennox alitangazwa mshindi by disqualification [ya McCall].
Hiyo siyo ‘revenge ya uhakika’. Hakukuwa na knockdown hata moja na McCall hakuwa hurt hata kwa sekunde moja.
Oliver McCall had a granite chin.
Vilevile, kwenye mpambano dhidi yake na Ray Mercer, Lennox alibebwa na majaji. Walimpa ushindi ambao ulikuwa na utata.
Mkuu hua nafatilia sana comment zako mfano ile ya kifo cha Hanter kwenye mv nyamageni na hata hii ya up to date ...utakua mtu wa Bwiru kijijini sema ni wale ma bro,anyways nimezaliwa Bwiru kijijini pia na nimekulia hapo kwa kiasi kikubwa....Thumb up broMimi ule mpambano wa tyson na evanda sikuhiyo nilijua ngumi zinapigiwa nyamanoro-Mwanza,maana vijana wote wa mtaani kwetu waliendakuangalia ngumi hizo ukumbi wa up to date ( banda umiza )
BalotelliMike ana vituko kama Pogba wa magogoni