Vituko vya mjini Dar es-salaam...

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
Mama mmoja mswahili na mwanawe wa
miaka 5 walikuwa ndani ya taxi usiku
wakapitishwa mitaa ambayo kuna wanawake
wanajiuza:-

MTOTO:"Mama hao watu waliosimama kando
ya barabara wanafanya nini?"

MAMA:"Wanasubiri wanaume zao watoke
kazini waje kuwachua warudi nao nyumbani."

TAXI DRIVER:"Aaaah mama acha uongo
mwambie mtoto ukweli...hao ni malaya na
hapo walipo wanasubiri wanaume wafanye
sex nao kwa malipo!"

MTOTO:"Mama na watoto wanaozaliwa na
hawa wanawake hufanya nini?"

MAMA:"maranyingi huwa Wanakuwa
madereva wa taxi!"
 
[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] hapo ngoma droo mwaga ugal nimwage mboga!!
 


Hahaha hao watoto kama dereva Taxi ndiyo wamejaa chadema!
 
[emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji3]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuanzia asubuh ndio nimecheka sahv sa8 mkuu umeua"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…