Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umetishaaaa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Mama mmoja mswahili na mwanawe wa
miaka 5 walikuwa ndani ya taxi usiku
wakapitishwa mitaa ambayo kuna wanawake
wanajiuza:-
MTOTO:"Mama hao watu waliosimama kando
ya barabara wanafanya nini?"
MAMA:"Wanasubiri wanaume zao watoke
kazini waje kuwachua warudi nao nyumbani."
TAXI DRIVER:"Aaaah mama acha uongo
mwambie mtoto ukweli...hao ni malaya na
hapo walipo wanasubiri wanaume wafanye
sex nao kwa malipo!"
MTOTO:"Mama na watoto wanaozaliwa na
hawa wanawake hufanya nini?"
MAMA:"maranyingi huwa Wanakuwa
madereva wa taxi!"