Vituko vya mjini Dar es-salaam...

Vituko vya mjini Dar es-salaam...

Mama mmoja mswahili na mwanawe wa
miaka 5 walikuwa ndani ya taxi usiku
wakapitishwa mitaa ambayo kuna wanawake
wanajiuza:-

MTOTO:"Mama hao watu waliosimama kando
ya barabara wanafanya nini?"

MAMA:"Wanasubiri wanaume zao watoke
kazini waje kuwachua warudi nao nyumbani."

TAXI DRIVER:"Aaaah mama acha uongo
mwambie mtoto ukweli...hao ni malaya na
hapo walipo wanasubiri wanaume wafanye
sex nao kwa malipo!"

MTOTO:"Mama na watoto wanaozaliwa na
hawa wanawake hufanya nini?"

MAMA:"maranyingi huwa Wanakuwa
madereva wa taxi!"
Umetishaaaa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Back
Top Bottom