Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,287
Mshana jr unamaana gani apo
Halafu?Kama, bado kazini mochwari sema kaka mkubwa nije nione hivyo vituko
najua we na haya madude hapana..nlikua nakuita nkutishe tu[emoji23] [emoji85]Mpenzi wangu aggyjay waweza kunambia kwa muhtasari hapa kuna nini mpaka umeniita??
Duh hii lugha ya malkia ni shida.Mshana, I respect you much brother but this is not fair, [emoji21] no health personal who is allowed kutoa izo siri ikiwa za patient, client au hata deadbody, don't act like a kid brother u are grown up enough, don't do this please...[emoji120]
Nimekuelewa.naogopa kuwa maiti
Kwakweli umefanikiwa. Huyu mpare mjinga sana. Mi ntamblock very soon. Mambo gani haya ya kutishana kipindi cha kwaresma?najua we na haya madude hapana..nlikua nakuita nkutishe tu[emoji23] [emoji85]
Angalia profile ya mshana jr mkuu kazi yake ni mortuary attendant unaponuuliza amejuaje ni unamkosea heshima kwa kweliDu jaman unawasengenya maiti wa watu!!!
Alafu Aibu ya maiti anaijua muoshaji mkuu ww umejuaje?
Kuna zile za wale waliozoea kusuta na kuzodoa wakifa maiti zao utakuta zimebetua midomo. Nishawahi kuona mimi......
Xkujua mkuu xore Xana!!!Angalia profile ya mshana jr mkuu kazi yake ni mortuary attendant unaponuuliza amejuaje ni unamkosea heshima kwa kweli
Ha ha ha kuna watu wana zali la hatari. Yaani mie nilikuwa sijawahi kumuuona hamorapa, kuambatana na Nape kumempaisha chati hadi na mm nimemjuaBora umerudi mshanajr na story zetu ili tuwapotezee uncle magu Hamorapa na lipumba wanatuchosha na vituko vyao vya kila siku
Jamani jamani jamani pale mahali paoneni hivi hivi, pana vibweka pale mwanzo mwisho, na Kama kuna viumbe wana visa vibaya marehemu wanaongoza
Kama mtu alikuwa malaya kwenye uhai wake hata akifa maiti yake huwa na pozi zile zile.
Mtu katili hufa na ukatili wake na hata pale mochwari maiti yake huwa na dalili zote.... Wabishi matapeli wachawi nk hubaki na hizi tabia hata pale ndani
Huwezi amini maiti uliyokuwa umeiweka vizuri tu ukaikuta imechanua miguu.
[emoji87] [emoji85] ,ama maiti nyingine kuikuta tu imegeuka yenyewe ...! Unakaa na kujiuliza na mshangao mkubwa hii imegeuka saa ngapi? Ama imegeuzwa ?[emoji35] [emoji35] [emoji35] na nani?
Mbaya zaidi ni zile zenye tabia ya kukonyeza.... Yani live kabisa ukiangalia unaona marehemu anakukonyeza.... Walevi mateja mabosi nk wote wapo kwenye kile chumba.
Na kuna wakati mochwari attendant hujua kabisa kwamba Leo mochwari patafurika ama mzigo utakuwa mdogo.... Ni uzoefu tu wa kazi.
Nikimkumbuka yale niliyokutana nayo wakati ule naona kabisa kuna mengi bado hatuyajui.
mkuu mshana kuna malalamiko kutoka kwa marehemu kuwa mnawapigaga sana miti. tupe ufafanuzi kwa mashtaka haya dhidi yenuKuna zile za wale waliozoea kusuta na kuzodoa wakifa maiti zao utakuta zimebetua midomo. Nishawahi kuona mimi......