Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,287
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mi nimefanya kazi sana humo mortuary, na nilikuwa naweka bia zangu ndani ya Frigi za marehemu na zikipata ubaridi nakunywa taratiiiibu, ila kuna mademu bomba wanakufaga wanacheka, wakimleta bado wa motomoto dah! Ni shida!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]@Mshana,eti kweli mtu akiwa anakata roho anaskia raha mara tatu zaidi ya kugegeda?
Eti anasikia raha hadi anakunya na kupiz? Ni kweli haya?
Sio kweli kabisa zile ni HARI za kifo
Tunakosea sana tunapojaribu kuogopa ama kuukimbia UkweliMambo ya mochwari tuyaache kama yalivyo maana hayafai hata kidogo na km unataka kujua mengi nenda kamuone muoshaji akusimulie kikubwa uwe mvumilivu ili usije ukatoka nduki
Hatufanani unajua kwa mfano wengi wanaogopa sana kazi ya kunyonga ila mimi nikiipata hata leo hii naifanya tena kwa moyo mmojaHii kazi mi naitaka hata kwa mshahara mdogo, naitaka sana, maana ni kazi ya kusitiri binadamu wenzio waliofariki, lakini nashangaa watu eti wanaogopa[emoji46] [emoji46] [emoji46] [emoji46]
mshana tuwekee basi ile link yako ya kusomea budhaHatufanani unajua kwa mfano wengi wanaogopa sana kazi ya kunyonga ila mimi nikiipata hata leo hii naifanya tena kwa moyo mmoja
Watu bwana, yaani yule ni binadamu mwenziwe kumsitiri anaogopa.Hatufanani unajua kwa mfano wengi wanaogopa sana kazi ya kunyonga ila mimi nikiipata hata leo hii naifanya tena kwa moyo mmoja
Kunyonga ni thawabu wengi tu hawajui unampunguzia marehemu mtarajiwa maumivu mengiWatu bwana, yaani yule ni binadamu mwenziwe kumsitiri anaogopa.
kunyonga ikija naitaka. Niliwahi kusoma makala moja ya mzee mmoja ambaye amestaafu, alikuwa ndio mnyongaji mkuu katika gereza la Isanga niliipenda sana.
Askari Mstaafu aliyekuwa ananyonga watu Gereza la Isanga-Dodoma
We baba wewe haya!Hatufanani unajua kwa mfano wengi wanaogopa sana kazi ya kunyonga ila mimi nikiipata hata leo hii naifanya tena kwa moyo mmoja
Mkuu hapo unanyonga akiwa mgonjwa mahututi au mzima? mshana jrKunyonga ni thawabu wengi tu hawajui unampunguzia marehemu mtarajiwa maumivu mengi
Hiy makal kibokWatu bwana, yaani yule ni binadamu mwenziwe kumsitiri anaogopa.
kunyonga ikija naitaka. Niliwahi kusoma makala moja ya mzee mmoja ambaye amestaafu, alikuwa ndio mnyongaji mkuu katika gereza la Isanga niliipenda sana.
Askari Mstaafu aliyekuwa ananyonga watu Gereza la Isanga-Dodoma
Aiiseh iyo link nimeipitia mkuu niliyoyakuta humo nomaaa eti anataka na tena kama kunakaz apige mzigo wa kutoa watu roho[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Watu bwana, yaani yule ni binadamu mwenziwe kumsitiri anaogopa.
kunyonga ikija naitaka. Niliwahi kusoma makala moja ya mzee mmoja ambaye amestaafu, alikuwa ndio mnyongaji mkuu katika gereza la Isanga niliipenda sana.
Askari Mstaafu aliyekuwa ananyonga watu Gereza la Isanga-Dodoma
Anhaa kumbe umemaanisha hiyo makala kiboko[emoji120]Hiy makal kibok
Alafu mkoni mmoja kaweka juu mwingine kwenye zakalimshana jr
Yaani jamaa anananihii mpaka anatabasamu?? Hii zaidi sasa, Dah!