Vituko vya mochwari

Vituko vya mochwari

Mi nimefanya kazi sana humo mortuary, na nilikuwa naweka bia zangu ndani ya Frigi za marehemu na zikipata ubaridi nakunywa taratiiiibu, ila kuna mademu bomba wanakufaga wanacheka, wakimleta bado wa motomoto dah! Ni shida!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mambo ya mochwari tuyaache kama yalivyo maana hayafai hata kidogo na km unataka kujua mengi nenda kamuone muoshaji akusimulie kikubwa uwe mvumilivu ili usije ukatoka nduki
 
Hii kazi mi naitaka hata kwa mshahara mdogo, naitaka sana, maana ni kazi ya kusitiri binadamu wenzio waliofariki, lakini nashangaa watu eti wanaogopa[emoji46] [emoji46] [emoji46] [emoji46]
 
Hii kazi mi naitaka hata kwa mshahara mdogo, naitaka sana, maana ni kazi ya kusitiri binadamu wenzio waliofariki, lakini nashangaa watu eti wanaogopa[emoji46] [emoji46] [emoji46] [emoji46]
Hatufanani unajua kwa mfano wengi wanaogopa sana kazi ya kunyonga ila mimi nikiipata hata leo hii naifanya tena kwa moyo mmoja
 
Hatufanani unajua kwa mfano wengi wanaogopa sana kazi ya kunyonga ila mimi nikiipata hata leo hii naifanya tena kwa moyo mmoja
mshana tuwekee basi ile link yako ya kusomea budha
 
Watu bwana, yaani yule ni binadamu mwenziwe kumsitiri anaogopa.
kunyonga ikija naitaka. Niliwahi kusoma makala moja ya mzee mmoja ambaye amestaafu, alikuwa ndio mnyongaji mkuu katika gereza la Isanga niliipenda sana.
Askari Mstaafu aliyekuwa ananyonga watu Gereza la Isanga-Dodoma
Aiiseh iyo link nimeipitia mkuu niliyoyakuta humo nomaaa eti anataka na tena kama kunakaz apige mzigo wa kutoa watu roho[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom