Vituko vya mochwari

Itakuwa baadhi tu...

Mbona kawaida na hakuna lolote la ajabu..

Hekaya nni nyingi kuliko uhalisia..
 
Tatizo tumekuamini sana sasa unaanza kutuchanganyia na kamba humohumo, haya we mochwari umeenda lini?[emoji23]
 
Tatizo tumekuamini sana sasa unaanza kutuchanganyia na kamba humohumo, haya we mochwari umeenda lini?[emoji23]
Imani ni jambo la kheri lakini imani hukoma mashaka yanapoanza..
 
Duniani kuna vituko. Huko Kansas Marekani, mhudumu mmoja wa kike (pichani) mwenye miaka 26 amefikishwa mahakamani kwa kosa la kufanya ngono na maiti alizotakiwa kuzifanyia uchunguzi, na kusababisha kupata mimba toka mojawapo ya maiti aliyotakiwa kuifanyia uchunguzi.

Hata hivyo, imewekwa wazi kwamba Marekani haina sheria inayokataza kufanya ngono na maiti, hivyo mwanamke huyo atashitakiwa kwa shambulizi la maiti. Wataam wa mambo ya akili wamedai kwamba mwanamke huyo anasumbuliwa na tatizo la kisaikolojia la mambo ya ngono.
 
Link ya huo uzi pliiz?
 
Kwani maiti anasimamisha na kumwaga?? Kama ndio hivyo MBONA kama Bado Kuna ka uhai flani?
 
@Mshana Jr nisaidie link ya huo uzi wa kufukua maiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…