Vituko vya mochwari

Vituko vya mochwari

Jamani jamani jamani pale mahali paoneni hivi hivi, pana vibweka pale mwanzo mwisho, na Kama kuna viumbe wana visa vibaya marehemu wanaongoza
Kama mtu alikuwa malaya kwenye uhai wake hata akifa maiti yake huwa na pozi zile zile
Mtu katili hufa na ukatili wake na hata pale mochwari maiti yake huwa na dalili zote.... Wabishi matapeli wachawi nk hubaki na hizi tabia hata pale ndani
Huwezi amini maiti uliyokuwa umeiweka vizuri tu ukaikuta imechanua miguu... [emoji87] [emoji85] ,ama maiti nyingine kuikuta tu imegeuka yenyewe ...! Unakaa na kujiuliza na mshangao mkubwa hii imegeuka saa ngapi? Ama imegeuzwa ?[emoji35] [emoji35] [emoji35] na nani?
Mbaya zaidi ni zile zenye tabia ya kukonyeza.... Yani live kabisa ukiangalia unaona marehemu anakukonyeza.... Walevi mateja mabosi nk wote wapo kwenye kile chumba....
Na kuna wakati mochwari attendant hujua kabisa kwamba Leo mochwari patafurika ama mzigo utakuwa mdogo.... Ni uzoefu tu wa kazi..
Nikimkumbuka yale niliyokutana nayo wakati ule naona kabisa kuna mengi bado hatuyajui
d8a579ed333254ea09d729cf18d44a46.jpg
Aaiiseh
 
Those are illusions brought about by fear of the dead. Utaona , utahisi unaona (kumbe siyo real) mambo uliyoyataja
 
Kuna spirits nyingi sana zinatembelea mochwari.

Nina jamaa zangu watatu ambao walikuwa announced died na waliingizwa muchwari but baada ya masaa kadhaa walizinduka na kurudishwa wodini.

Wana sema hawawezi kusahau hiyo siku
Nini kiliwakuta kabla
 
Kaka ukifanya kazi huko kweli unakuwa sawa katika maisha ya kwaida?
Kufanya kazi monchwar inaitaji ujasir sana binasfi nna kakaangu alikuwa anafanya kazi huko
Kila siku alikuwa ananiambia daaaaah ile kazi bila kuvuta mmea uwezi piga
Kuna maiti zinaletwa pale zaajabu
-zingine eti zinaamka zinafanya mazoezi zikimaliza zinakufa tena
-zingine ukiziangalia sana zinaamka zinakuuliza unamuangalia nani zingine zinakukonyeza
-zingine zilikuwa zinamuomba adi simu ziwapigie ndugu zao we acha tu

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Nawaza kwa sauti.. nje ya mochware tuna VVIP, VIP, VI ME..... kwingine tumeongeza neno mzunguko..... KULE SAME PEOPLE SAME CLASS
 
Back
Top Bottom