Vituko vya mochwari

Vituko vya mochwari

Habari yako huwa haijitoshelezi,haina y a ma, siikubali
 
Hahahahaha lol! Nimecheka kama mazuri. Sikutaka kuifungua hii thread lakini nikasema nichungulie haraka haraka. Mie na baadhi ya threads za mshana jr mbali mbali kabisa! Huwa nazipita kwa mbaaaaali!

CC: Honey Faith
Nawe muoga?
 
Kufanya kazi monchwar inaitaji ujasir sana binasfi nna kakaangu alikuwa anafanya kazi huko
Kila siku alikuwa ananiambia daaaaah ile kazi bila kuvuta mmea uwezi piga
Kuna maiti zinaletwa pale zaajabu
-zingine eti zinaamka zinafanya mazoezi zikimaliza zinakufa tena
-zingine ukiziangalia sana zinaamka zinakuuliza unamuangalia nani zingine zinakukonyeza
-zingine zilikuwa zinamuomba adi simu ziwapigie ndugu zao we acha tu

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Chai kavu hiiii
 
Hata kwa pesa siendiiii,,niliwah simama mlangoni kwa nje nikaona kwa mbali zimepangwa wewe nilisisimkaaa mwili wote hadi jikataka kuangukaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom