Katika hali isiyo ya kawaida, Mwalimu Mkuu wa shule ya msingi Kerege wilayani Bagamoyo aliamua kijitoa ufahamu na kuanza kupigana na mhudumu wa baa inayotazamana na shule anayofundisha tena mbele ya wanafunzi wake na kuacha gumzo mtaani.
Sent from my HUAWEI LUA-L21 using JamiiForums mobile app
Sent from my HUAWEI LUA-L21 using JamiiForums mobile app