Vituko vya Mwalimu Mkuu

Vituko vya Mwalimu Mkuu

Kabibi

Member
Joined
Apr 16, 2017
Posts
9
Reaction score
5
Katika hali isiyo ya kawaida, Mwalimu Mkuu wa shule ya msingi Kerege wilayani Bagamoyo aliamua kijitoa ufahamu na kuanza kupigana na mhudumu wa baa inayotazamana na shule anayofundisha tena mbele ya wanafunzi wake na kuacha gumzo mtaani.

Sent from my HUAWEI LUA-L21 using JamiiForums mobile app
 
Hadithi hii inafundisha nini wajukuu zangu - kabibi

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Katika hali isiyo ya kawaida, mwalimu mkuu wa shule ya msingi Kerege wilayani Bagamoyo aliamua kijitoa ufahamu na kuanza kupigana na mhudumu wa baa inayotazamana na shule anayofundisha tena mbele ya wanafunzi wake na kuacha gumzo mtaani

Sent from my HUAWEI LUA-L21 using JamiiForums mobile app
Bar inayotazamana na shule![emoji15] [emoji15] [emoji15]TAMISEMI fanyia kazi hii taarifa

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Bila picha, siwezi kukuamini...[emoji45] [emoji45]
6897991f25c62284a2c1a59f1626960f.jpg

Weka picha

sent from kuzimu


Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
siku ya jumatatu wiki hii Mkuu msaidizi wa umonga sekondari apigana na mwanafunzi wake darasani mbele ya wanafunzi wengine
 
Forgot about Photoshop?
It can deceive you either!

sent by IPhone 6 using jamii forum app
Kama hauwezi kuandika lugha ninayo ijua mimi bora uache aiseeee..... Haya mambo ya kutoana nishai kwa hii lugha (hadi nilewe) mispendi....[emoji51] [emoji51] [emoji51]
Tena staki dharau kabisa...[emoji34] [emoji34]
 
Back
Top Bottom