Bar inayotazamana na shule![emoji15] [emoji15] [emoji15]TAMISEMI fanyia kazi hii taarifaKatika hali isiyo ya kawaida, mwalimu mkuu wa shule ya msingi Kerege wilayani Bagamoyo aliamua kijitoa ufahamu na kuanza kupigana na mhudumu wa baa inayotazamana na shule anayofundisha tena mbele ya wanafunzi wake na kuacha gumzo mtaani
Sent from my HUAWEI LUA-L21 using JamiiForums mobile app
Bila picha, siwezi kukuamini...[emoji45] [emoji45]
Weka picha
sent from kuzimu
Hapo ni kibiti....[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
Hapana bagwamoyo hiyoHapo ni kibiti....[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Forgot about Photoshop?Bila picha, siwezi kukuamini...[emoji45] [emoji45]
Kama hauwezi kuandika lugha ninayo ijua mimi bora uache aiseeee..... Haya mambo ya kutoana nishai kwa hii lugha (hadi nilewe) mispendi....[emoji51] [emoji51] [emoji51]Forgot about Photoshop?
It can deceive you either!
sent by IPhone 6 using jamii forum app