Katika hali isiyo ya kawaida, Mwalimu Mkuu wa shule ya msingi Kerege wilayani Bagamoyo aliamua kijitoa ufahamu na kuanza kupigana na mhudumu wa baa inayotazamana na shule anayofundisha tena mbele ya wanafunzi wake na kuacha gumzo mtaani.
Sent from my HUAWEI LUA-L21 using JamiiForums mobile app
Hadithi hii inafundisha nini wajukuu zangu - kabibi
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Angalau tukio liwe laivu
Kabibi alikuwa hajui uko humu Mwl MkuuHadithi hii inafundisha nini wajukuu zangu - kabibi
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Yule mjaluo? Wewe muongo yupo maternity leaveKatika hali isiyo ya kawaida, Mwalimu Mkuu wa shule ya msingi Kerege wilayani Bagamoyo aliamua kijitoa ufahamu na kuanza kupigana na mhudumu wa baa inayotazamana na shule anayofundisha tena mbele ya wanafunzi wake na kuacha gumzo mtaani.
Sent from my HUAWEI LUA-L21 using JamiiForums mobile app