Vituko vya Mwalimu Mkuu

Vituko vya Mwalimu Mkuu

Katika hali isiyo ya kawaida, Mwalimu Mkuu wa shule ya msingi Kerege wilayani Bagamoyo aliamua kijitoa ufahamu na kuanza kupigana na mhudumu wa baa inayotazamana na shule anayofundisha tena mbele ya wanafunzi wake na kuacha gumzo mtaani.

Sent from my HUAWEI LUA-L21 using JamiiForums mobile app

Hadithi hii inafundisha nini wajukuu zangu - kabibi

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app

Angalau tukio liwe laivu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Katika hali isiyo ya kawaida, Mwalimu Mkuu wa shule ya msingi Kerege wilayani Bagamoyo aliamua kijitoa ufahamu na kuanza kupigana na mhudumu wa baa inayotazamana na shule anayofundisha tena mbele ya wanafunzi wake na kuacha gumzo mtaani.

Sent from my HUAWEI LUA-L21 using JamiiForums mobile app
Yule mjaluo? Wewe muongo yupo maternity leave
 
Back
Top Bottom