Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

Nakumbuka timu yetu ya nondo ilikua inasifika kwa vurugu kuliko mpira,walikua wanamabaunsa wengi kuliko wachezaji mpaka kuna mwaka waliua shabiki maeneo ya manzese ikawa soo mpaka timu yenyewe ikajifia ikabakia jina tu
Kibesi,zingo.....dah hiyo game ilikuwa ukombozi pale manzese chama langu hili ndio likapukutika mtu alipigwa na kinu cha kichwa roho ikaacha mwili
 
Hahaha kwa hiyo na wewe ushaa fumiliwa mkuu ?[emoji1]
 
Kamanyola gesti karibu na Bakule... Ukiingia hapo hata ufanyeje lazima upigwe chabo... Nasikia zile chabo zinalipiwa...
mshana jr you have made my day. Hilo la chapo kulipiwa ni kali kuliko. Ila ni kweli kwani uswazi kuna mengi. Nashangaa wana bongo movie wanaigiza vitu vya upeo wa juu vilivyowashinda uwezo wakati uswazi kumejaa kila aina ya hazina. Hata watunzi wa vitabu. BTW hata wewe ninahisi una kipaji cha kuandika kizuri sana
 
Umeisahau vipi Mwananyamala KomaKoma?
Masai Club kwa mzee mponda?
Nimekula sana hapo kwa mma ntilie karibu na A!
Usisahau hapo Mwananyamala kila familia haikosi mtoto mmoja au wawili wako UK..BRAZIL AU CHINA kwa shughuli za kipunda.
Masai ya juzi tu
 
kapigwa sana nyuma ya mitaa ya mahakama ya kinondon kule kisa kete ka geto ka chafu daaa ray c watu walifidia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli mkuu si pale nyumbani kwa kina amini yule muimba mziki.ray c ndo ilikuwa maskani watu wamemlalua sana pale kino mahakaman
 
watoto wa ujiji hua hatunaga shobo za kukimbiza mwizi ukiporwa simu eneo la ujiji we kimbiza mwizi wako mwenyewe,,,ila tukikatiwa madirisha yetu tunajua machimbo ya kupata vitu vyetu,,, we ukitaka kufaulu mwananyamala basi usiwe mnoko,,wala usiwe kihele hele wa maisha yatu,,vingnevyo wachawi na vibaka hawatokuacha salama kila siku,,ila ule ukanda wa kisiwani mpaka kwa mama zakaria unaongoza kwa umalaya,, watoto wadogo wamekubuhu wanaliwa na wazee,,ni hatari sana
 





Mkuu Mshana Jr. Hapo namba 3 kwenye matapeli hapooooo. Koma koma na mwananyamala kisiwani kuna matapeli wa kufa MTU,, jina LA mjini wanajulikana kama wabeshi
 
Kamanyola gesti karibu na Bakule... Ukiingia hapo hata ufanyeje lazima upigwe chabo... Nasikia zile chabo zinalipiwa...
Daaaaah mkuu umenikumbusha mbaaaaaali sana ile bakule ilikuwa zamani kabla hiyo road haijapigwa lami ilikuwa vumbi kipindi hiko muvi la komando kipensi lazma liwekwe pale bar tukawa tunaenda kuchungulia ktk matobo.....kuna baamed alikuwa booooonge anaitwa amina yeye akikuona unachungulia anachukua kiti anakuja kukaa usawa wako anakuziba dah...tulikuwa tunalifinya alafu nduki mbaya ...kipind hko nipo primary mwananyamala b
 
MwananyamalA kisiwani hiyo
 
Kamanyola gesti karibu na Bakule... Ukiingia hapo hata ufanyeje lazima upigwe chabo... Nasikia zile chabo zinalipiwa...
Hapo kamanyola kuna chochoro lilikuwa refu ndo lina madirisha ya gest kuna mshkaj anaitwa ibrahim alienda kupiga chabo akakuta mama yake mzaz anasukumiwa mashine mbuz kagoma jamaa alilia kwa sauti mpaka wakasikia wahudumu
 
Kwahiyo Mwalimu akiwa mbunge wa Kinondoni ndio ataifuta hiyo historia uliyotuletea? Mbona hujazungumzia ile ofisi yenu pale kwa mama Zakaria ambapo kwa sasa panauzwa gongo mkisubiria 2020!
 
Kamanyola gesti karibu na Bakule... Ukiingia hapo hata ufanyeje lazima upigwe chabo... Nasikia zile chabo zinalipiwa...
Kuna wapga chabo maarufu mwalimu wa msufini na bon jove wa shoka hawa walikuwa na vyeo kabisa vya upigaj chabo,nakmbuka mzee kamanyola aliajir wamasai walinde watu wasipige chabo matokeo yake haohao wamasai ndo wakawa wanapiga chabo ikabidi watimuliwe wakazungushia ukuta usawa wa madirisha ikawa ndo kama wamerahisisha kaz kwa wazee wa chabo maana walikuwa wanaingia ndan ya ukuta wanachek muv la bureeeeew
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…