Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

Fafanua mkuu walikutengeneza nini na ukawa tengeneza nini?
 
Wacheza draft 80% wana maneno ya shombo. Na hiyo ni Tanzania nzima nafikiri, nimezunguka mikoa minne na wacheza draft wote wana maneno ya shombo
Yale maneno ndo raha ya draft yenyewe,unasikia jamaa anakuambia eti" Mimi nimewahi pewa mke na mimba yake sababu ya hivi vitu sasa wewe unakuja kujifunzia kwangu" hahahaha
Wacheza draft 80% wana maneno ya shombo. Na hiyo ni Tanzania nzima nafikiri, nimezunguka mikoa minne na wacheza draft wote wana maneno ya shombo
 
Sasa hivi kuna road imenyooshwa pale le uchochoro haupo tena
 
Mnanda,vigodoro vyote asili yake mwananyamala
Wasanii wa bongo movie wengi waliishi au wanaishi mwananyamala,mapusha wakubwa wa unga na bangi wengi walikuwepo mwananyamala.

Sasa hivi kumebadilika sana,wazawa wengi baada ya kufa wazee wao na madau kupanda wameuza nyumba,ule uswahili umepungua sana tena sana,ustaarabu umerudi sasa iv isipokua maeneo machache.
 
Mwananyamala kuna msikiti unaitwa taqwa ulikua moja ya misikiti yenye harakati na walikua ma master wa karate,akikabwa muumini mmoja basi wahuni wenyewe walikua wanawajua maana wakija wanapiga mtaa mzima na polisi wenyewe wanawaogopa.washawahi vamia baa ya bakule et yule mwenye baa aliwaalika watu wale daku baa usiku wa ramadhani hahaha ***** watu baa walichezea kichapo
 
Yale maneno ndo raha ya draft yenyewe,unasikia jamaa anakuambia eti" Mimi nimewahi pewa mke na mimba yake sababu ya hivi vitu sasa wewe unakuja kujifunzia kwangu" hahahaha
Kama ulikua unaongea sana halafu jahazi ndiyo linakuzamia mwenzako anaanza
"Wewe tatizo umeanza kijifunza maneno kabla ya draft, haya tulia kitandani hapo"

Usikae an mtu unayemheshimu kwenye drafti, mzee wangu alipigwa maneno tukaona kainuka kachukua stuli kamrushia jamaa, na ni marafiki hakuna
 
Mwananyamala ndio walikua waanzilishi wa kucheza kiduku,walikua na vikundi kibao vya kucheza kiduku japo mwananyamala watu wanacheza mpira ila timu za huku hua hazifanyi vizuri wala kufika mbali sababu wanaendekeza sana vurugu na usela mavi watu kwenye mechi walikua wanajiandaa kwa vurugu.
 
Sitaisahau hii siku jamaa baada ya zile fujo Deus akaenda kushtak polisi wakaja kukamata baadhi ya vijana waliohusika basi taarifa zikarudi msikitini dah jamaa mida ya saa 4 wakafika pale kituo lilianzishwa mbilinge la hatari mpaka jamaa wakawaachia
 
Balaa.
Sasa hivi kuna msambaa anapika supu hapo opposite na royal.
Kila asubuhi lazima nipate supu hapo
hapo Royal ni ninoma Malaya kibao hapo..nimelalewa kinondoni na m/Nyamala nilikuwa sikauki cuz dingi yangu mdogo anaishi Kule....
hapo royal kuna kisa kilitokea mwaka juzi ..kuna mchina aliuwawa..ni baada ya kwenda hpo kupata biereee watoto wamjini walipoona kuwa amelewa wakamuibia..lahaulaaaa kumbe mchina kungfu ndio ilipozaliwa..wacha aanze kugawa dose ..watu walichezea mnoo kichapo ..wahuni wakaona isiwe tabu waka mlia timing nakumpiga kisu...
in short aliyoyaeleza mshana nisahihi kbisaaaa. watoto wakule wanapo balee kimbilio lao kubwa huwa nikwa wamama wanaojiuza maarufu kwa jina la wahaya .mnamo miaka ya 2006 ilikuwa wapewa huduma kwa buku tu...now deiz naskia wnatoa huduma kwa buku 3

kwangu mimi kulelewa mwananyamala kumenifndisha mambo mengi mnooo moja wapo likiwa nikuto yattemekea mapenzi ..yaani mwanamke hanisumbui namjua in and out..hakuna sehemu yenye mahusiano yenye changamoto kama uswahilini ..demu wako anaweza kumegwa kwa chips na miguu ya kuku ..akija gheto nakuona sabufa tu na tv basi kesha chanua..anatoka kuliwa mambo kwako ..anakta kona ya kwanza ya pili waweza kumkuta kainamishwa chochoro ..
 
Swali ni je museveni alifundisha mwaka gani chuo cha ushirika?
 
Hivi kuna sehemu nyingine hapa dar kuna ligi au mechi za rede za wanawake?maana hapa mtaani kuna kiuwanja utakuja masela wamejaa pembeni unaweza kuta kuna mpira kumbe kuna madem wanacheza rede tena wamevaa jezi na masela kibao pamoja na mademu wapo pembeni wanashangilia.
 
Sitaisahau hii siku jamaa baada ya zile fujo Deus akaenda kushtak polisi wakaja kukamata baadhi ya vijana waliohusika basi taarifa zikarudi msikitini dah jamaa mida ya saa 4 wakafika pale kituo lilianzishwa mbilinge la hatari mpaka jamaa wakawaachia
Ile siku machale tu nilienda Golden Rose kula ila nilikua napenda kula Bakule
 
Teh teh Utakua jirani na wezi wengine akina kumbwiga na pembe!kuwaona mchana hao watu ni nadra sana ila asubuhi unasikia wamepiga tukio
Nawajua vizuri hao mimi nilikuwa natembea free usiku nikikutana nao ni mwendo wa 5 tu kwani ni majirani zangu huhuhuhuhuuuuuuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…