Noma sana!kapigwa sana nyuma ya mitaa ya mahakama ya kinondon kule kisa kete ka geto ka chafu daaa ray c watu walifidia
Utakabwa vipi wakati barabara hio iko active 24/7Nilishawahi kupita mitaa hiyo kwa miguu tena usiku mara kadhaa. Kuanzia Studio, Hospitali, Kwa Mama Zakaria, Ujiji, Kwa Kopa na sikuwahi kukabwa. Labda nilikuwa na malaika mlinzi.
Ila pale Mwananyamala A na kwa Kopa, Ujiji kuna sura si za Amani kabisa
Hicho ndo alichosahau mshana jrKuna biashara inaendelea pale minazini kuna nyumba imejengwa km madarasa ya shule (jina maarufu kwa wahaya) kipindi kile bao moja ilikuwa 1500, kulala 5000 mda wa biashara ni saa 7 mchana mpaka midnite vile vyumba vina milango miwili yanii unaingia mbele unatokea nyuma..wanaojiuza unawakuta wamekaa mlangoni pale chini mteja akija hakuna ata salamu ni speed tu ndani, kuna wamasai pale wao ni km walinzi wa ile biashara ukizingua kulipa wanakupa kichapo wateja wengine walikuwa wanakwenda kutolewa ndani ya room unakuta mteja amelipa 1500 ya mwendo mmoja yeye anaunganisha basi anaitwa mmasai fasta na bakora zake....pia hawa wamasai unakuta analipwa elfu 60 kwa mwezi ila mwisho wa mwezi anaambulia elfu 8 au 10 nyingne zote anakuwa anapewa huduma sana sana za buku 5 zile za kulala usk...HAPO ni MINAZINI
Hivi unamjua Rashid Mandanje?Mwananyama kwa utemi sasa kila kona kuna Gym, kuanzia vijana, komakoma, A, kisiwani kwa kidile...mirembe gym(hapa kuna gudu, dole) kwa mwalami gym( salum kiwiku) one nil gym( obede ngumu jiwe) bwawani huku kwa stevn nyerere (manchester gym shafii mashetani, albeto)...utemi utemi tu ktk mechi za mchangani LIGI ZA MBUZI game inapigwa pekupeku hio na wanaocheza ni baba flani watu wazima kabisa ndio alipotokea KANIKI huwa game aimaliziki lazima kiwake tu
Namjua mkuu sana tuHivi unamjua Rashid Mandanje?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwananyama kwa utemi sasa kila kona kuna Gym, kuanzia vijana, komakoma, A, kisiwani kwa kidile...mirembe gym(hapa kuna gudu, dole) kwa mwalami gym( salum kiwiku) one nil gym( obede ngumu jiwe) bwawani huku kwa stevn nyerere (manchester gym shafii mashetani, albeto)...utemi utemi tu ktk mechi za mchangani LIGI ZA MBUZI game inapigwa pekupeku hio na wanaocheza ni baba flani watu wazima kabisa ndio alipotokea KANIKI huwa game aimaliziki lazima kiwake tu
Hahahh[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]Kamanyola gesti karibu na Bakule... Ukiingia hapo hata ufanyeje lazima upigwe chabo... Nasikia zile chabo zinalipiwa...