Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] avatar mbali castr
Hahaha halafu nawaza baada ya huyo dada kuambiwa upo humu anaamua kujiunga na kuanza kuchati na wewe kwenye uzi huku anakutaja kwa jina.

Naomba atume na picha tu enzi uko shule
 
Hahaha halafu nawaza baada ya huyo dada kuambiwa upo humu anaamua kujiunga na kuanza kuchati na wewe kwenye uzi huku anakutaja kwa jina.

Naomba atume na picha tu enzi uko shule
Ahahha hawezi kuwa na pics zangu mm pics zangu wanazo rafiki zangu ambao tumeanza darasa moja mpaka tunamaliza nipo nao tulikua wa3 tu tulikua zaidi ya ndugu
 
Dah napapenda sana Mwananyamala,
 
Machizi wa mwanyamala ninao wakumbuka ni Chege, kasheshe, mlokozi, saa mbili kamili(huyu ukitaja mda wa saa tu utakaoishia na kamili mbele yake unae) mkiwa ( wahuni wamemzalisha zaid ya mara mbili)
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] yaan kwa mtu anayewajua hao lazima tu atanijua
Kuna mwaka alikuja siti binti kasiri yule mkenya aliyekuwa anaigiza ktk igizo la TAUSI unakumbuka wanafunzi wa B tulikwenda ktk ile nyumba mpaka ukuta wa ile nyumba ukadondoka..maeneo mwanymala kule kuna sehem inaitwa magodoro
 
Hivi mkuu Tito ndo aliuliwa maeneo ya Garden kule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…