Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

Shoga albino alikuwepo mwanyamala very smart pale kamanyola bar...ibrahm kipofu anatembea mwendo mrefu pembezoni mwa road bila ya kuguswa na gari wala baiskel kufata madada poa kwa wahaya..kuna kinunga nae albino huyu alikuwa anacheza mpira balaa
Aisee kweli hivi bado yupo? Siku moja wateja wa gesti wanasubiri huduma yeye yuko ndani anashughulikiwa
 
Machizi wa mwanyamala ninao wakumbuka ni Chege, kasheshe, mlokozi, saa mbili kamili(huyu ukitaja mda wa saa tu utakaoishia na kamili mbele yake unae) mkiwa ( wahuni wamemzalisha zaid ya mara mbili)
Huyu mkiwa dah huruma sana washkaj walikuwa wanajipigia sana kule magengeni mapinduzi
 
Kuna mpiga picha maarufu alikuwa anaitwa Japhari..
Alikuwa kibonge hivi..
Alikuwa anatembea na baiskeli yake...
Ukitaka upigwe picha unafanya booking mwezi kabla..
Maana alikuwa na tight schedule balaa
Sijui alipotelea wapi...
Mpinzani wake alikuwa jamala huyu nae alitangulia mbele za haki tayari
 
Morocco ni jina la mtu hilo huyu alikuwa kibaka maarufu na kwao ilikuwa pale karibu na kona ya kwenda kwa matunge
Ni sawa kabla hajahamia kule Pembe walikuwa na nyumba yao mtaa wa kwanza ukitoka Tiger inaangaliana na nyumba moja walikuwa wanaishi wacomoro.. Hapo ndio ilikuwa makao makuu ya Vida pala Vida
 
Aisee kweli hivi bado yupo? Siku moja wateja wa gesti wanasubiri huduma yeye yuko ndani anashughulikiwa
Dah sina uhakika mkuu huyu alibino me nilikuwa simjui km shoga mkuu kuna siku alinikuta nimesimama maeneo yangu nimetoka gym si unajua kipindi kile lazima uwe mbavu ili uendane na mazingira akanishika dushee akaniambia tall mambo" nilichomfanya aisee awez kunisahau maisha yake yote alikwenda kuzindukia kwa dr mvungi pale maana ilikuwa maeneo ya vijana ndio kuna gym ya kishua..wazee wake walikuwa wanalala kwa mzee wangu week nzima mpaka kijana wao alipopata nafuu me nilivuka maji kabisa
 
Mkuu nani huyu nipe code zake nimnyake.
 
Hivi huyu ni yule Kijana albino mdogo mdogo alikuwa anapenda kuvaa suruali za rangi ya khaki au..!?
 
Mpika chips hiyo sio mzee sewando
 
Aseeee walimu wote nawajua mwalimu ndago msambaa mwenzangu jaman mwalimu mpogolo some body kimwana na mwalimu mwanachia sasa mbona umemsahau mwalimu wetu wa darasa kutoka darasa la mwalimu ndago linalofatia jina limenitoka darasa la pili alikua anatuuzisha ice cream za ukwaju ukiwahi anakupa dell uhangaike nalo mkononi daaah umenikumbusha mmasai lazaro yaan tulklua tunamsumbua alikua mnoko vipiiii unawakumbuka dotto na kulwa wale mapacha walikuwa darasa la juu walitupita kama madarasa matatu walikua wana fujo na wakorofi shule nzima wakifanya fujo nyuma kule uwanja wa mpira shule inafungwa
 
Madandi akaj kuwa mwalimu mkuu,alikuwa anapiga stick za uhakika ukimkera,mzee msiba tulimuibia sana mihogo mibichi na kina csto,
 
Shoga albino alikuwepo mwanyamala very smart pale kamanyola bar...ibrahm kipofu anatembea mwendo mrefu pembezoni mwa road bila ya kuguswa na gari wala baiskel kufata madada poa kwa wahaya..kuna kinunga nae albino huyu alikuwa anacheza mpira balaa
Huyo shoga mpaka huku minazini njia ya kwenda sokoni karibu na kwa kina sharifa hivii nyumba ya kwanza kushoto alikua anakaaa hapo kulikua kuna mashoga wengi tukipita toka shule tunawashangaa wanavyokaa kibarazani vipiii unamkumbuka jack amabae sasa hivi ni shoga maarufu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…