Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

Kibesi,zingo.....dah hiyo game ilikuwa ukombozi pale manzese chama langu hili ndio likapukutika mtu alipigwa na kinu cha kichwa roho ikaacha mwili
Dah nakumbuka hili tukio na yule jamaa alimkuta dada mmoja anatwanga ndo akamyang'anya ule mwichi akaenda kumtandika nao kichwani yule mshkaji na ligi ikaishia hapo
 
Daah huu uzi wanikumbusha mbali sana. Mimi makuzi yangu nimekulia Sinza na Magomeni mitaa ya sunni. Ila nilikua nashinda sana mitaa ya kinondoni na mwananyamala kupiga soka huko.
Nakumbuka siku moja uwanja wa m/nyamala siku hizi wanapaita etihad alipita bishoo kaulamba karibu na wahuni. Nikajiuliza huyu mgeni nini au anajiamini sana?? Kutahamaki wahuni wawili mmoja kashika ndoo za chuma enzi hizo na mwingine alikua na rungu kubwa kabisa wakawa wanamnyatia kwa nyuma. Basi yule mwenye ndoo akamvisha ndoo fasta kichwani na mwingine wa rungu akamkandamiza rungu pale kichwani alipovishwa ndoo. Ilibidi wadau tucheke tu kwa ile action. Jamaa wakampukutisha palepale. Jamaa alizima kwa muda.
 

Mkuu unaishi Magomeni sunna ipi?
 
Hapo hakuna mfano kila kitu cha mjini kipo,hii ni pamoja na mambo yote mabaya ya Dar yanafanyika hapo<<<<<<<<Take Care
 
Mwalimu nyamakate imebidi nimpigie simu farshuu ljoh anitajie jina ahhaha me sijawahi kugombana na mtu kuhusu chenji halaf mwalimu nyamakate ukiwahi lazima akupe dell halaf ice cream zake alikua haesabu nimezila mm jaman wakati nikiuza
Nimechekaa sanaaa
 
Me mtoto wa A Rrondo na huko kuna nyumba yetu mpaka leo sasa hivi nipo mitaa ya kwangu kati kati ya dar huku kwa watu wanaojua kutumia pesa zao
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapana Bana me ni M mwana wa C acha niishie hapa aisee ukifungua hiyo code baki nayo moyoni
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Kambale wamekudandia kwenye nguo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hizi ID fake zitawakutanisha mtu na Mkwewe ktk uzi huu, halafu ushangae kumbe nyuma ya keyboard ni wataniii...[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuna mmoja kasepa kimoja, hajarudi tena kukomenti. Teh teh teh teh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…