Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

Na buguruni pia, sijajua kwa sasa hali ikoje, sewa na kimboka zilikuwa zikifungwa saa 7 root kwa zero pub till kuchee, niliwahi kuopoa ma.laya akanywa safari 4 nikalala nae na kumuibia 120k, nikasepa akastuka alinifata stend na chupi tu! sitasahau!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Manyau nyau alikuja kuondoa uchawi kufika pale Ubaa Corner (Baa ipo Makaburini) akasema mbele anaona bahari tu hawezi kusogea mbele akarudi kwao, akakaa akaja tena, akafika sehemu ni maskani kuna gogo limewekwa hua tunakaa kupiga stori.

Akatoa jidude fulani hivi akasema huu ni ub00 kila aliyekaa hapa alikua anafir.wa ndiyo maana mtu akikaa hapa kuondoka hua hataki.

Yaani alichomaanisha ni kua vijana wote wa pande zile marinda yaliliwa na wachawi
Dah ***** hamkumind[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mada ya Mfahamu James Ngomero: Bingwa mtuhumiwa wa zile maiti 11 za watoto hospitali ya Mwananyamala imenikutanisha na watu wengi ambao kwa namna moja ama nyingine tunaweza kuwa tunafahamiana kabisa...

Si hilo tu bali nimegundua sehemu kubwa wanaJF Dar wengi ni wakazi wa Mwananyamala/Kinondoni katika ujumla wake...

Kuishi Mwananyamala pekee ni chuo tosha... Ikiwapendeza kwa uwingi wetu tunaweza kuwa na huu uzi wa vituko vya Mwananyamala mtaa kwa mtaa... Naamini kama umeishi Mwananyamala hutokosa cha kusimulia.

1. Madawa ya kulevya: Mwananyamala eneo lote la Mwananyamala A ni kituo na kitovu kikubwa cha madawa ya kulevya kuanzia wauzaji mapusha mpaka watumiaji... Hospital ya mwananyamala ina kituo cha kutoa tiba kwa mateja na nadhani ndio kituo kikubwa zaidi Tanzania.

2. Hospital ya mwananyamala: Ndio hospital maarufu zaidi yenye vituko na kashfa nyingi... Kuanzia kutoa mimba, kashfa ya vichanga 11, wizi wa maiti, rushwa... Maiti iliyofumuliwa na kutolewa madawa na madaktari kuiba hayo madawa,... Nk nk.

3. Matapeli: Hapo ndio kwake.. Mitaa maarufu ikiwa ni kuanzia kwa Kopa, A mpaka karibu na Kinondoni B, wale matapeli maarufu mmoja akijulikana kama doctor... Wale matapeli kiboko wa Jerry Muro, bar yao kubwa ilikuwa nyuma ya hospital ya Mwananyamala.

4. Ofisi na kampuni za mifukoni: Eneo lote la Kinondoni Mkwajuni mpaka Biafra ni hatari kwa shughuli hizo.. Utataka nini ukose.. Mihuri ya siri? Nyaraka za serikali? Mikataba mbalimbali, nyaraka za kusafisha mizigo.. Pesa bandia, madini bandia.. Kila kitu hukosi hapo. Mitaa hiyo ni maarufu kwa madaktari feki, Wanausalama, polisi, wanajeshi mahakimu, wanasheria, wabunge hata mawaziri nk

5. Machangudoa, wasagaji, mashoga, Mario nk... Mtaa wa wibu ndio kama kitovu cha mashoga.. Ukiwasikia kina anti abuu, anti Ali hiyo ndio ilikuwa mitaa yao.. Habari za Machangudoa na wasagaji zinajulikana wazi.. Kinondoni na Mwananyamala ndio headquarters..

6. Wezi, vibaka majambazi, wakora nao wako: Ukisikia roba za mbao na watu wanaitwa mbavu Mwananyamala ndio kwao

7. Wachawi wanga na waganga Wamo pia.. Mwananyamala kuna military base kubwa sana/KILINGE ya wachawi.... Lile anga limechafuka.

8. Wasanii wanamuziki wa aina zote: Bongo movies, Taarab, na kadhali kaliba yote hii kwa sehemu kubwa chimbuko ni Mwananyamala

9. Wahamiaji haramu: Wakongo, Wamalawi, Wakenya, Waganda, Warundi nk... Sehemu kubwa wamejazana Mwananyamala.

Yako mengi ya kuandika kuhusu Mwananyamala siwezi kuyamaliza yote... Mengine yataandikwa na kusimuliwa na WanaJF - Mwananyamala Wing...

Maana yake mtoto kaa kimya....hii ni maana ya kibantu. Lakini mshana si mtoto yeye anaongea....
Uko sahihi mkuu ila tafsiri yako umeipa ukali sana Mwana nyamala - Mwana nyamaza au mtoto nyamaza.
 
SALUM S HEMED
mkuu, umenikumbusha mbali kishenzi.
Ahahaha
Mkuu chama dola nipe report mkuu nimekukumbusha nini? Huyo Samilo ulishawai kumsikia? Na kuna mtoto mwingine alikuwa anajiita Sam jaco(shabani) huyo hatar hatar (mwizi wa roba, visu ) alimkaba sister wa mtaa wetu alipokuja sokoni Tandale kipindi kile nguo za mitumba ni tandale tu(tulianza kumtafuta tandale nzima kuanzia saa mbili usk mpaka saa saba maskani zote tukamkosa)...asubhui akaipeleka handbang na simu pale kituo cha polis tandale yeye mwenyewe....
 
Tupia picha tuione mwananyamala, wengine tupo kikatiti huku tunahisi ipo kama dubai
Angalia video ya Nandi kivuruge imeshutiwa mwananyamala Mchangani wanapaita bar mpya.Mateja wakitoka kumeza methadone hapo ndio wanakuja kunywa uji wa lishe na supu ya mapupu.na kuamshia stimu za ngada na sposi.
 
nimeikumbuka lodge yangu ya maco nikiua nakaa hapo mwezi mzima kila siku nalipa elfu 20 na nina deme mkali sana ikiwemo wasanii wengi niklikua nawagongea hapo , pia nilikua naishi maeneo hayo safi mudi chipsi,wapi afrikando ,wapi anti ezekieli pub ,wapi nk
Wataje hao wasanii tukwambie walio katika orodha ya arvs
 
Uzuri wa huu uzi umefanya watu wote wamekuwa marafiki, hakuna kuparuana watu kumbe wengine wanajuana kabisa toka enzi za utoto namuona JINGALAO naye kumbe ni mtoto wa kitaa kabisa safi sana mwisho wa siku wote ni ndugu.

Haya wazee wa Friends ranger, Messina, Kagera ranger, Nyarugusu Fc, Milambo, Faru dume, National, Las vegas, sheki utd, abajalo, sinza stars dah zama zile bwana ilikuwa hatari, MSHANA tuletee uzi wa Magomeni,Manzese, Sinza, Tandale, shekilango, mburahati,tiptop..
 
Tupia kapicha ka mwananyamala kwa sisi wa mikoani hatupajui
7c957a430137f00a03e96f8b092bc1d9.jpg
...kwa mama zakaria MOJA hio
 
Mada ya Mfahamu James Ngomero: Bingwa mtuhumiwa wa zile maiti 11 za watoto hospitali ya Mwananyamala imenikutanisha na watu wengi ambao kwa namna moja ama nyingine tunaweza kuwa tunafahamiana kabisa...

Si hilo tu bali nimegundua sehemu kubwa wanaJF Dar wengi ni wakazi wa Mwananyamala/Kinondoni katika ujumla wake...

Kuishi Mwananyamala pekee ni chuo tosha... Ikiwapendeza kwa uwingi wetu tunaweza kuwa na huu uzi wa vituko vya Mwananyamala mtaa kwa mtaa... Naamini kama umeishi Mwananyamala hutokosa cha kusimulia.

1. Madawa ya kulevya: Mwananyamala eneo lote la Mwananyamala A ni kituo na kitovu kikubwa cha madawa ya kulevya kuanzia wauzaji mapusha mpaka watumiaji... Hospital ya mwananyamala ina kituo cha kutoa tiba kwa mateja na nadhani ndio kituo kikubwa zaidi Tanzania.

2. Hospital ya mwananyamala: Ndio hospital maarufu zaidi yenye vituko na kashfa nyingi... Kuanzia kutoa mimba, kashfa ya vichanga 11, wizi wa maiti, rushwa... Maiti iliyofumuliwa na kutolewa madawa na madaktari kuiba hayo madawa,... Nk nk.

3. Matapeli: Hapo ndio kwake.. Mitaa maarufu ikiwa ni kuanzia kwa Kopa, A mpaka karibu na Kinondoni B, wale matapeli maarufu mmoja akijulikana kama doctor... Wale matapeli kiboko wa Jerry Muro, bar yao kubwa ilikuwa nyuma ya hospital ya Mwananyamala.

4. Ofisi na kampuni za mifukoni: Eneo lote la Kinondoni Mkwajuni mpaka Biafra ni hatari kwa shughuli hizo.. Utataka nini ukose.. Mihuri ya siri? Nyaraka za serikali? Mikataba mbalimbali, nyaraka za kusafisha mizigo.. Pesa bandia, madini bandia.. Kila kitu hukosi hapo. Mitaa hiyo ni maarufu kwa madaktari feki, Wanausalama, polisi, wanajeshi mahakimu, wanasheria, wabunge hata mawaziri nk

5. Machangudoa, wasagaji, mashoga, Mario nk... Mtaa wa wibu ndio kama kitovu cha mashoga.. Ukiwasikia kina anti abuu, anti Ali hiyo ndio ilikuwa mitaa yao.. Habari za Machangudoa na wasagaji zinajulikana wazi.. Kinondoni na Mwananyamala ndio headquarters..

6. Wezi, vibaka majambazi, wakora nao wako: Ukisikia roba za mbao na watu wanaitwa mbavu Mwananyamala ndio kwao

7. Wachawi wanga na waganga Wamo pia.. Mwananyamala kuna military base kubwa sana/KILINGE ya wachawi.... Lile anga limechafuka.

8. Wasanii wanamuziki wa aina zote: Bongo movies, Taarab, na kadhali kaliba yote hii kwa sehemu kubwa chimbuko ni Mwananyamala

9. Wahamiaji haramu: Wakongo, Wamalawi, Wakenya, Waganda, Warundi nk... Sehemu kubwa wamejazana Mwananyamala.

Yako mengi ya kuandika kuhusu Mwananyamala siwezi kuyamaliza yote... Mengine yataandikwa na kusimuliwa na WanaJF - Mwananyamala Wing...
hahahaha
 
Uzuri wa huu uzi umefanya watu wote wamekuwa marafiki, hakuna kuparuana watu kumbe wengine wanajuana kabisa toka enzi za utoto namuona JINGALAO naye kumbe ni mtoto wa kitaa kabisa safi sana mwisho wa siku wote ni ndugu.

Haya wazee wa Friends ranger, Messina, Kagera ranger, Nyarugusu Fc, Milambo, Faru dume, National, Las vegas, sheki utd, abajalo, sinza stars dah zama zile bwana ilikuwa hatari, MSHANA tuletee uzi wa Magomeni,Manzese, Sinza, Tandale, shekilango, mburahati,tiptop..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli kabisa... Uzi huo uko njiani kaa mkao wa kula
 
850791f8f5d7f9cdd29671b638afac13.jpg
..Ni salama ila ni maeneo hatari KARIBU
Mkuu ungetupia picha ya eneo lililokuwepo lile gogo kwenye maskani ambapo manyaunyau alitoa ile kitu ya wachawi iliyokuwa inakula rinda za wana[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Back
Top Bottom