Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

Haha haha haha haha Rehema Chalamila(Ray C) kapigwa sana Mtungo mitaa iyo. Wazee wa Dozi walikuwa wakishampa unga ni mwendo wa mtungo kwenda mbele
Daah, so sad, atakuwa mzima kweli!!!maana mitungo hainaga maandalizi kama tunavyowaandaa mademu na wake zetu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwahiyo wote waliowahi kulikalia hilo gogo walitafunwa?...
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] pale mahali basi tu.. Mwananyamala pia walikuwepo wengi tuu na wa kupigisha simu nje ya nchi.. Ticket za ndege nk.. Yani inasoma kabisa... Unasafiri kwenda china na kurudi kwa laki 7 tuu

hahaha Yani unapewa hadi visa?
 
Inaonekana umehama zamani sana mwananyamala, mnanda na mchiriku hayo ni mambo ya miaka ya 90 kipindi hicho Chaukucha na Jagwa bado zipo.
Bado nilikuwa napitapita...zile nyumba za Nyamala nyingi sana zilikuwa ni kota za NHC kama sikosei.
Tena nyingi sana zina dari za miti.
 
Khaa...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee nimecheka hatari!!! Hebu hao waliokuwa wanakaa hapo watuambie walikuwa wanajisikiaje??...[emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] pale mahali basi tu.. Mwananyamala pia walikuwepo wengi tuu na wa kupigisha simu nje ya nchi.. Ticket za ndege nk.. Yani inasoma kabisa... Unasafiri kwenda china na kurudi kwa laki 7 tuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] duuuuhh hatari
 
Ahhha na kuna jamaa aliwahi kukamatwa sema location sikumbuki vzur,yeye alikuwa anakuunganisha dstv,azam ,startmies,nk kwa Pamoja nadhani alkuwa anachaji bk 5 pekee
Sure mkuu alikuwa mwanayamala kisiwani..project yake ilikuwa na uwezo wa kumnyima mteja moja huduma akampa mteja mwingne huduma yanii room yako aupati channel ila room inayofata wanapata huduma za channel. OFF na ON anaweka kwake seva anayo yeye tu usipomlipa anakata channel akiwa kwake...apakuwa na dish wala antena ni kebo km TTCL ila walimchoma wambea wa mtaa defender nyingi zilimfata
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] vipi ikawaje, walimpa kura wakamchagua tena au?
 
Bado nilikuwa napitapita...zile nyumba za Nyamala nyingi sana zilikuwa ni kota za NHC kama sikosei.
Tena nyingi sana zina dari za miti.
Basi mkuu wewe ulikua unapita au unaishia Victoria
 
Hahahahaha umenifurahisha hapo unaposema switch ya fan na taa zipo connected
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] pale mahali basi tu.. Mwananyamala pia walikuwepo wengi tuu na wa kupigisha simu nje ya nchi.. Ticket za ndege nk.. Yani inasoma kabisa... Unasafiri kwenda china na kurudi kwa laki 7 tuu
bro mshana huyu jamaa bado yupo? manake nahitaji kuzamia ng'ambo nikanunue grisi yakutosha then nirudi
 
Ahhha aisee bongo wachawi wengi wangemuacha jamaa apige hela,ila uswahln kuna mainjinia wazur bila kupita darasan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…