Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

Msisiri B Shule ya msingi pale ndipo panaitwa "mbuzi kagoma kwenda" wanawake wanachota maji, anavutwa darasani anapigwa chuma mchicha ndani ya dakika 5 anarudi kwa mumewe na haitakaa ifahamike, hufanyika nyakati za jioni.
 
Ndio mji na sehemu pekee Tanzania iliyokuwa mjini tokea kitambo toka 1940 uko mwananyamala ni town kumechangamka watu kibao mpaka leo mwananyamala town,town kitambo since way way back...
Kuna ramani niliiona ya wakoloni wajerumani ya dar es salaam ikionesha miji mbalimbali dar ikiwemo mwananyamala,upanga,kariakoo na masaki
 
Lake Mwananyamara (lake) is located in Tanzania nearby to Mwananyamala, Makumbusho, and Mwananyamala. It is also nearby Tandale and Ndugumbi. The latitude of Lake Mwananyamara is -6.78333, and the longitude is 39.25 with the GPS coordinates of 06Β° 46β€² 59.98β€³ S and 39Β° 15β€² 00.00β€³ E.
 
Huu uzi wankumbusha mbaali sana ,mmezaliwa Mwananyamala,nimekulia tandale pale kwa Ally Maua sasa hivi eti Kijitonyama[emoji848]baadae tukahamia hapa mwanayamala ujiji Kona ya ile madrasa ya Shamsia na nyumba ya Julius Nyaisanga kwa mbele kidogo kuna msikiti ndo palikua uswazi hapo,nimekaa Kinondoni kule bwawani kwa Hanzuruni Mungula,enzi hizo kituo hakiiwti Biafra kinaitwa Hombos hotel au Kanisani

Ahsante kwa baba angu ,siku tuliyopangwa tukafundishwe kuvuta bangi wenzangu wananisubiri nje nkaitwa kwenda ndani nikapike wakanisubiri wakaona kimya wakasepa toka hapo wakanitenga wakaniambia Mimi mtoto wa baba!wale wadada wengine waliishia kua mateja tu.
Nashukuru kwa mzee kuhama pia maana I swear kule nisingesoma asehh!!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
[emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tembelea kwa mama Zakaria
Nimekukubali mzee baba,pale kwa mama Zakaria unashusha kibonde kile kama kauchochoro hivi[emoji28][emoji28][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]we nuksiii

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…