Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

Pale Soko la Mapinduzi (maarufu Magengeni) kuna Guest ipo ndani ndani pale..
Wake za watu na ma housegirl wameliwa sana na wauza magenge...
Mtu km anaingia sokoni vile
Kumbe kaenda kuliwa mzigo...
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] namkumbuka sana then kuna Tajir mmoja sijui alitokea mkoa gani kipindi kile alikuja kuanzisha secondary mwananyamla B..inaitwa sijui Avot centre uniform sketi nyekundu shule yake ilikuwa hapa uwanjani B karibu na geti la uwanjani kuna kichochoro unatokea sokoni mapinduzi madirisha ya madarasa yana tizamana na gesti dah ile shule ata miezi 3 aikufika naisi ilikufa
Ahahahha naikumbuka na teacher Jose jaman aliyekuwa anafundisha tuition jion daah kuna siku nilikutana nae mitaa ya shekilango anafundisha tena alikua anafundisha tuition za sec
 
Na kuna jamaa wa mingo za bia za kuvizia MK, Mango au Masai wote karibu wanatokea Mwananyamala nawakumbuka Idd kibonge na rafiki yake Yero; na kuna jamaa mkongo huyo yuko hapo keshakua mbongo akiitwa Jozee duuh.
Hapo msaada MK ilikuwa nashuka kwenye daladala na kukaa kwenye kiti kama mita moja kutoka barabarani halafu natumia a beer balanced to perfection huku nikisoma mwanahalisi au Rai nguvu ya hoja..
 
Aisee mi nlizaliwaga pale Mwananyamala hospital miaka kadhaa iliyopita kipind hapajakuwa hvyo nadhani
 
Aliweka kioo chake ktk mwembe ilikuwa lazima nijiangalie ktk kile kioo nikiwa natokea juu DSSD nashuka chini
MZEE DILUNGA, MSHABIKI MKEREKETWA WA YANGA, MPAKA LEO YUPO. KINYOZI CHINI YA MWEMBE, NITAPIGA PICHA YA TANGAZO LAKE LA BEI NA CONTACT
 
Pale Soko la Mapinduzi (maarufu Magengeni) kuna Guest ipo ndani ndani pale..
Wake za watu na ma housegirl wameliwa sana na wauza magenge...
Mtu km anaingia sokoni vile
Kumbe kaenda kuliwa mzigo...
Inaitwa mwambao ile jinsi ilivyotengenzwa aina Deo...ila kuna day moja nimeopoa kabinti coco beach sound sound fresh binti kanielewa nikapiga mahesabu nikasema pale mwambao gesti nitakuwa free kwanza mbali na home pia no Deo...picha linaanza na buku mbili mfukoni (denti kipndi icho) show time ni 2500 gest dah' nikamfata mwana wa pale caunta nikampanga nikamwambia mimi fasta tu sigandi nawai home na huyu binti wa kusoma anaishi namanga nae anawai home jamaa "akanimbia poa zama ndani Tall ila usilembe..yule jamaa wa gesti kauzu kinyama kasikia tunazungumza kidogo tu akagonga mlango "ngo ngo ngo Tall eeh acha stor bwana dah akanikata stimu nikamwambia "tulia wew binti aksema akuu bana haya mambo siyawezi ya kugongeana milango

Iko mwishoni kabisa mwa soko kuna uchochoro mtu akipita hapo hajulikani anaenda gesti au anataka kutokea upande wa pili... Nyingine ilikuwa pale Barabarani kabisa
 
Kuna jamaa mmoja sasa hivi mkubwa tu ktk awamu hii ya 5 alikuwa anadate mdada wa mitaa ya kwetu sijui mwenyewe alikuwa anaishi wapi kipndi icho kuna siku wamechil uwanjani na yule mdada pale uwanja wa sparta usk km saa tatu wanashikana shikana tukawafata "tukamuliza nani amekupa ruksa ya kukaa eneo ili mda huu? Na unafanya nini hapa Jamaa akawa mnyonge ruka kichurachura akaruka pale akaomba tumuache maana ana mke na watoto akalipa elfu 80 na simu akatoa line simens dole gumba ila alivyoondoka akugeuka nyuma..now yupo kwa JPM huko ila mwanyamala anaijua vizur
 
Mkuu mshana hio ni kweli kabisa wahauni walikuwa wana promse kabisa kuwa lazima niwape chabo leo WANA..sasa ole wake awazingue WANA wapo dirishani then deo awalipati kudadekii utajua kuwa wahuni awana ushikaji na mtu siku hio..**kuna huyu mmoja sasa yupo south wakuitwa jimmy yeye alikuwa ndio kamanda wa mademu kila siku dem mpya wahauni wamempa vyeo then anawapa wana deo hii nyumba anayoishi ni kwao yeye jimmy ndio kama baba mwenye nyumba pale mzee wake alifariki na mother wake yupo morogoro. kuna siku jimmy akaokota kademu mitaa ya msufini mchana tu ameopoa kale kademu kanajitia kageni Dar kabisa kimetoka pemba anaongea na lafudhi ya kipemba dah jimmy ajawai kupata mpemba akaona eeh leo nimepata nyama mpya mpya mbio mpaka kwa wahuni wake "jamaani eeeh leo deo la mpemba"" watu eeeh mpemba [emoji39] [emoji39] [emoji39] jimmy nomaaa sana mpaka mpemba oyoooooo"" bila ya kuchelewa mara Vuupu' jimmy geto na mpemba(feki) akafanya mambo yake kama kawa jimmy katoa deo..sasa jimmy huyu pia na yeye deo lipo ktk damu yake lazima amuache demu ndani japo alikuwa nae na yeye anajoin dirishani na masera wake wanamla deo dem ni basi tu mwenyewe nae anajisikia raha kuona shepu ya demu au just ajione tu anafanya nini dem akiwa alone geto ..jimmy akamwambia mpemba nakwenda kununua maji ya kunywa ya kiroba yale ya azam ilikuwa yanauzwa 50..** jimmy sasa yupo dirishani na masera wake kina bojo, boso, swea, mlela, kule ndani mtoto wa kipemba akaiendea chupi yake kwanza akainusa mara anajikunakuna chini mara anajitia kidole anatoa mara ananusa anakunja sura yake kabisa wahuni pale dirishan [emoji102] "eeh niaje hii huyu demu jini nini?? mpaka stimu zinakata dah [emoji15] jimmy mara anajisikia miwasho sehem za siri kumbe kale kapemba ni kamalaya kinyama nyama kina GONO sugu na pia sio mpemba kinatoka kwa mtogole tandale kinaitwa fatm MAGONO kinajulikana balaa tandale yote wahuni wanakipiga mande kila siku
Hahahah a hahahah hahahah nimecheka hatari aisee daaah hahahaahahah huyu walimtumia jamaa hahaaaah
 
Me wa mkoani lakini nimesoma toka mwanzo mpaka mwisho kiukweli nimefurahi sana ha ha ha juzi juzi nilikuwa hospitalini mwananyamala hapo tumepeleka mgonjwa akapewa kitanda si tukajua ni kama utaratibu wetu wa mikoani ukipeleka mgonjwa na akalazwa basi na wewe lazima ulale, nikashangaa wote tunaruhusiwa mgonjwa abaki peke yake na madaktari tu humo wodini sisi tuwe tunakuja kumchek tu na kusepa na pia unaacha namba zako ili kama kuna chochote utajulishwa, kwa kweli nilishangaa sana huo utaratibu na niliupenda sana.
 
Matukio na kumbukumbu za mambo ya mwananyamala enzi hizo vinanichekesha na kunifanya nikumbuke mbali sana enzi naishi A stendi ya daladala ilipokuwa Iringa photo studio!Mengi yanayoelezewa ktk kuchangia uzi huu ni ya kweli asilimia zote mia!!!Kwa wanaokumbuka stendi ya daladala A kulikuwa na mpika chips maarufu jina nishamsahau alikuwa jirani na sehemu ya kuchezea kamari almaarufu Kwa jina la copacabana!Nishachezaga kamari humo nikaliwa pesa zangu hadi ada ya shule enzi nasoma pugu sec.Tangu that day sikuthubutu tena kucheza kamari.Ila all in all Mwananyamala ni eneo lenye changamoto nyingi na vioja lukuki.
 
Inaitwa mwambao ile jinsi ilivyotengenzwa aina Deo...ila kuna day moja nimeopoa kabinti coco beach sound sound fresh binti kanielewa nikapiga mahesabu nikasema pale mwambao gesti nitakuwa free kwanza mbali na home pia no Deo...picha linaanza na buku mbili mfukoni (denti kipndi icho) show time ni 2500 gest dah' nikamfata mwana wa pale caunta nikampanga nikamwambia mimi fasta tu sigandi nawai home na huyu binti wa kusoma anaishi namanga nae anawai home jamaa "akanimbia poa zama ndani Tall ila usilembe..yule jamaa wa gesti kauzu kinyama kasikia tunazungumza kidogo tu akagonga mlango "ngo ngo ngo Tall eeh acha stor bwana dah akanikata stimu nikamwambia "tulia wew binti aksema akuu bana haya mambo siyawezi ya kugongeana milango
Mkuu ina maana hukugegeda? Hukukitendea haki kifanyio chako
 
Kuna jamaa mmoja sasa hivi mkubwa tu ktk awamu hii ya 5 alikuwa anadate mdada wa mitaa ya kwetu sijui mwenyewe alikuwa anaishi wapi kipndi icho kuna siku wamechil uwanjani na yule mdada pale uwanja wa sparta usk km saa tatu wanashikana shikana tukawafata "tukamuliza nani amekupa ruksa ya kukaa eneo ili mda huu? Na unafanya nini hapa Jamaa akawa mnyonge ruka kichurachura akaruka pale akaomba tumuache maana ana mke na watoto akalipa elfu 80 na simu akatoa line simens dole gumba ila alivyoondoka akugeuka nyuma..now yupo kwa JPM huko ila mwanyamala anaijua vizur
nissah saba
 
Back
Top Bottom