Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

.
IMG-20191127-WA0048.jpeg
 
Na buguruni pia, sijajua kwa sasa hali ikoje, sewa na kimboka zilikuwa zikifungwa saa 7 root kwa zero pub till kuchee, niliwahi kuopoa ma.laya akanywa safari 4 nikalala nae na kumuibia 120k, nikasepa akastuka alinifata stend na chupi tu! sitasahau!
Dah Jf imesheheni dizaini za ungaunga watu wa Ngeta, wazee wa vidole, roba za mbao, majambakaa, makanjanja, watu wa miselepeto, wazee wa mande, panga shaa TMk watoto wa mbwa, vijana wa Topaz wakichungulia ghetoni umeliwa, wana wa segere na mnanda, anampiga mchuchu anasepa na chupi ya demu pia.
Humu JF ndio kuna mafundi wa nyanja zote hadi ULOZI
Hii ndio Jf
 
Humu JF ndio kuna mafundi wa nyanja zote hadi ULOZI
Hii ndio Jf [emoji849][emoji849][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Dah Jf imesheheni dizaini za ungaunga watu wa Ngeta, wazee wa vidole, roba za mbao, majambakaa, makanjanja, watu wa miselepeto, wazee wa mande, panga shaa TMk watoto wa mbwa, vijana wa Topaz wakichungulia ghetoni umeliwa, wana wa segere na mnanda, anampiga mchuchu anasepa na chupi ya demu pia.
Humu JF ndio kuna mafundi wa nyanja zote hadi ULOZI
Hii ndio Jf
 
PROF Vulata alikuwa na Kombi nyuma imechorwa nyotanyota
Nimeishi na kusoma mwananyamala.Kuna mganga mmoja wa kienyeji alikuwa anaitwa profesa vulata (sijui yupo wapi nowadays).Kuna jirani yetu alienda na nduguze kupata tiba ktk clinic yake.Wakati tiba na manyanga yakiendelea,ghafla mpiga nyanga akashuka na dari puuuuu hadi chini alipokuwa mgonjwa na nduguze.Mgonjwa na nduguze walitoka mbio acha tu.
 
7. Wachawi wanga na waganga Wamo pia.. Mwananyamala kuna military base kubwa sana/KILINGE ya wachawi.... Lile anga limechafuka.
hii conclussion ya no.7 imeniacha hoi..mkuu wewe ni noma...nakuvutia picha usiku wa manane upo anga hata la mwenge unavyolichek kwa hofu anga la mwananyamala.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
hii conclussion ya no.7 imeniacha hoi..mkuu wewe ni noma...nakuvutia picha usiku wa manane upo anga hata la mwenge unavyolichek kwa hofu anga la mwananyamala.
 
Wachawi wanga na waganga Wamo pia.. Mwananyamala kuna military base kubwa sana/KILINGE ya wachawi.... Lile anga limechafuka.
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji23]
hii conclussion ya no.7 imeniacha hoi..mkuu wewe ni noma...nakuvutia picha usiku wa manane upo anga hata la mwenge unavyolichek kwa hofu anga la mwananyamala.
 
Mada ya Mfahamu James Ngomero: Bingwa mtuhumiwa wa zile maiti 11 za watoto hospitali ya Mwananyamala imenikutanisha na watu wengi ambao kwa namna moja ama nyingine tunaweza kuwa tunafahamiana kabisa...

Si hilo tu bali nimegundua sehemu kubwa wanaJF Dar wengi ni wakazi wa Mwananyamala/Kinondoni katika ujumla wake...

Kuishi Mwananyamala pekee ni chuo tosha... Ikiwapendeza kwa uwingi wetu tunaweza kuwa na huu uzi wa vituko vya Mwananyamala mtaa kwa mtaa... Naamini kama umeishi Mwananyamala hutokosa cha kusimulia.

1. Madawa ya kulevya: Mwananyamala eneo lote la Mwananyamala A ni kituo na kitovu kikubwa cha madawa ya kulevya kuanzia wauzaji mapusha mpaka watumiaji... Hospital ya mwananyamala ina kituo cha kutoa tiba kwa mateja na nadhani ndio kituo kikubwa zaidi Tanzania.

2. Hospital ya mwananyamala: Ndio hospital maarufu zaidi yenye vituko na kashfa nyingi... Kuanzia kutoa mimba, kashfa ya vichanga 11, wizi wa maiti, rushwa... Maiti iliyofumuliwa na kutolewa madawa na madaktari kuiba hayo madawa,... Nk nk.

3. Matapeli: Hapo ndio kwake.. Mitaa maarufu ikiwa ni kuanzia kwa Kopa, A mpaka karibu na Kinondoni B, wale matapeli maarufu mmoja akijulikana kama doctor... Wale matapeli kiboko wa Jerry Muro, bar yao kubwa ilikuwa nyuma ya hospital ya Mwananyamala.

4. Ofisi na kampuni za mifukoni: Eneo lote la Kinondoni Mkwajuni mpaka Biafra ni hatari kwa shughuli hizo.. Utataka nini ukose.. Mihuri ya siri? Nyaraka za serikali? Mikataba mbalimbali, nyaraka za kusafisha mizigo.. Pesa bandia, madini bandia.. Kila kitu hukosi hapo. Mitaa hiyo ni maarufu kwa madaktari feki, Wanausalama, polisi, wanajeshi mahakimu, wanasheria, wabunge hata mawaziri nk

5. Machangudoa, wasagaji, mashoga, Mario nk... Mtaa wa wibu ndio kama kitovu cha mashoga.. Ukiwasikia kina anti abuu, anti Ali hiyo ndio ilikuwa mitaa yao.. Habari za Machangudoa na wasagaji zinajulikana wazi.. Kinondoni na Mwananyamala ndio headquarters..

6. Wezi, vibaka majambazi, wakora nao wako: Ukisikia roba za mbao na watu wanaitwa mbavu Mwananyamala ndio kwao

7. Wachawi wanga na waganga Wamo pia.. Mwananyamala kuna military base kubwa sana/KILINGE ya wachawi.... Lile anga limechafuka.

8. Wasanii wanamuziki wa aina zote: Bongo movies, Taarab, na kadhali kaliba yote hii kwa sehemu kubwa chimbuko ni Mwananyamala

9. Wahamiaji haramu: Wakongo, Wamalawi, Wakenya, Waganda, Warundi nk... Sehemu kubwa wamejazana Mwananyamala.

Yako mengi ya kuandika kuhusu Mwananyamala siwezi kuyamaliza yote... Mengine yataandikwa na kusimuliwa na WanaJF - Mwananyamala Wing...
Ali Kiba Team
 
Back
Top Bottom