Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Hatari sana. Asubuhi jamaa kaja na Uber kazini. Mwingine kaja na Bolt. Ila kuna tarehe zikifika hawa jamaa huomba hadi tsh 600 ya nauli.
Mwisho wa mwezi english inapanda sana na bashasha ofisini ni kubwa. Husikii malalamiko kuwa mshahara ni mdogo au mwajiri anatunyonya. Gate man namsikia analiambia lijishangazi la haja hapa ofisini kuwa leo atalitoa Dinner. Mi namcheck tu hapa zije fika zile tarehe aanze kuomba omba pesa ya nauli au lunch. huwa anatia huruma sana.
Leo analitoa hili lidada lunch. Linakula nusu kuku na mazaga Zaga mengi tu. Maana limemwambia lenyewe halili vichochoroni. Jamaa kaliambia lisikonde atalipeleka KFC likale tani yake. Namtizama huyu mlinzi nasema "hiiiiiiiiii" lidada linakunywa Jack Daniels, sijui Pombe gani ile nyingine tsh 35,000 chupa.
Kipindi hiki Kariakoo tembea kwa uangalifu sana. Wahuni wanachomoka na wallet au porches. Maeneo ya Mwananyamala, Kariakoo, Tandale,Tandika, Manzese, hatari sana nyakati za kugombea au kushuka daladalani. But pia unaporudi uswahili kuna wadau nao wanasubiria subiria kwenye engles flan flan kwa ajili ya kukusanya ushuru na mapato.
Lunch time humkuti mtu ofisini watu wote wanatoka. Asubuhi watu wanapiga soup na chapati mpaka nne.tena supu ya kuku wa kitanzania.
Naangalia mahaba yanavyokuwa makubwa mwisho wa mwezi. Wakaka wanajitutumua sana. Dogo tarehe hizi huja na Toyota Crown yake mpaka zikifika tarehe 10 plus huko anaanza tumia daladala anasema ili kuwahi ofisini.
Yaani mwisho wa mwezi kuna mambo mengi sana ofisini. Na parking zinakuwa zimetulia sana. Ikifika zile tarehe flani flani watu huwa mpaka wanakamuana kwenye magari parking. Msione hizi tinted mkadhani tu... Huwa imenitokea mara kadhaa watu wanakamuliana parking maana sisi ofisi ipo ghorofani na parking huko huko juu na underground.
Lakini kwa kipindi hiki watu wana pesa ya kwendea guest kunyanduana. Mpaka wakichacha ndo wanazitia najisi parking zetu.