Alice Gisa
Senior Member
- Sep 6, 2014
- 172
- 417
Ntakua na update time to time as napata.
1. Ukiona Kundi ama meza ya watu wanakunywa Bear bar kwa pamoja wote ni kabila moja. Kama meza ni luos basi wote ni luos full na wanaongea kijaluo. Pia ni hivyo kwa Wakamba Kikunyu na wengine.
2. Mademu wa Kenya wanaamini Watanzania wanapenda kula tigo (anal sex)
Wawili weminuuliza direct kwa nini hivyo. Nikawaambia siyo kweli ni matatizo ya instagram tu. Mathalani mie sijawahi na sipendi Wala kutamani hiyo mambo
Up date ya trh 19.09.2021.
3. Usafiri wa mjini Matatu ni ghari sana ukilinganisha na daladala za Dar Es Salaam. DSM route kama Kawe hadi Mbagala ni tsh 800. Wakati Nairobi route ya Town to Thika ni Ksh 100 sawa na tsh 2200. Ambayo ni fupi ukilinganisha na route ya Kawe to Mbagala.
Route fupi fupi zile za kituo kwa kituo Nairobi ni Ksh 50/= sawa na tsh 1100 wakati DSM ni tsh 400.
4. Niseme na mazuri. Nairobi wako mbele kwenye matumizi ya E-Money, yaani kufanya malipo kwa simu ama mtandao. Kwenye Matatu/daladala karibia 30% ya abiria hulipa nauli kwa Mpesa.
Hasa wadada warembo aka maslay queens. Pia migahawani katika local level si ajabu mtu kulipa chai chapati bill ya 100ksh kwa mpesa. Tz katika hili bado kidogo. Tanzania sijawahi ona daladala mtu analipa kwa mtandao.
5. Gharama za internet Bado zimewaelemea vijana. Wengi huvizia free WiFi za mabaani na mahotelini kuaccess online. Kwa na WiFi ni kuvutio kikubwa Cha mteja. Mtu anaagiza bia moja amalizi analambalamba tu ilimladi aendelee kufaidi internet.
6. Nzuri. Barabara ya Thika iko sawa aisee. bypass kama tatu hivi. Pia Kuna bonge la interchanger. Hadi nimelmliliaa Hayati Magufuli maana angekaa miaka minne tena Morogoro road ingeneoga zaidi.
7. Alafu kwa nini ampitishiani round za bia mkiwa meza moja?, roho mbaya tu. Watu mko meza moja, Kila mtu anajiagizia kibinafsi, ninyi ni makauzu balaa.
8.Note. ukikamatwa na polisi hujavaa barakoa kitu kidogo ndiyo itakuokoa na hii hutegemea na muonekano wako. Ukiwa Boss boss hivi ni Kati ya 2000 na 5000ksh, ukiwa wa Kati hivi ni 500 Hadi 1000
Ukiwa kama mvuta bagi choka mbaya ni fimbo ama 100 Hadi 500ksh.
More Update za Leo 20.9.21
9. Music 70% ya Ngoma hupigwa clubs na kwa Ma3 ni bongo fleva. Na Diamond, Alkiba, Rayvan na Harmonize wanapigwa sana kwa upeke pia Darasa anajina Nairobi kuliko Tz. Na Ngoma kama Lekatutigite ni Ngoma legend kuliko ilivyo Tz.
Singeli haipigwa kabisaaaaa. Na Zuchu Bado hajatoboa siku 6 Leo ni bar to bar sijasikia Ngoma ya Zuchu Wala Nandy.
10. Konyagi inafanya vizuri sana kuliko product ingine yoyote ya Tz ukitoka mazao ya shamba. Juzi nilipata Parkroads karibu na Bulehut hotel nikakuta kijiwe Cha masela wote wanakunya Konyagi. Nikawauliza kwa Nini Konyagi. Wakasema iko poa alafu ni bei nzuri. Inauzwa Ksh 250/= ukilinganisha na pombe za level yake kama Richot huuzwa Ksh 500 at local.